General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ahsante mkuu...! Nimeongea nae saana ila anaonyesha alichokiamua yy ni kuolewa tu....! Na mimi nimeamua kubariki apate haja ya moyo wake, ila changamoto kisheria ikoje kuozesha binti aliyefaulu 4m4
Usifanye hvo utatengeneza chuki Kati yako na mtoto Ako na bado akaendelea kukataa kwenda shule.au akatishia kufanya vitu vya ajabu......muache aolewe lakini mpe sharti la kusoma akiwa kweny ndoa......atajifunza maisha ni nin atajifunza maneno ya mkubwa hayadondoki!!!Hapa nawaza labda kumshtaki na kumchukulia hatua yule kijana anayemdanganya, pengine inaweza kuleta unafuu
Wewe siyo mzazi wake hakuna mzazi mwenye Akili za kipunbavu hivi..Wala mimi sitaki aje kujuta na mbariki kiroho safi, maana ni maisha yake aliyoamua kuyachagua
AiseeeHaya mwenye vitafunwa agawe
Ww toa ushauri kulingana na thread mkuuWewe siyo mzazi wake hakuna mzazi mwenye Akili za kipunbavu hivi..
Wewe ndiye kijana unayenrubuni huyo binti umekuja huku kujua athari zake huko baadae..
Hakuna baba mzazi wa hivi hakkuna. Hayupo
Ww toa ushauri kulingana na thread mkuu
ha ha haaa…Mkuu mimi ndio baba yake
Duuuu mwandiko wa kike ndio ukojeha ha haaa…
unamwandiko wa kike balaa,
basi ndo mana bint analeta ujinga
Dogo kumbe una miaka 27, hii chai.
Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!
Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......! Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu. Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...! Na mzee wangu amekua mastari wa mbele...www.jamiiforums.com
Mzee baba Kuna vitu viwili ambavyo huji kufanikiwa kushauri maishani mwako labda Kama unataka kutafuta matatizo mengine.Asikudanganye mtu, issue kama hizi hutakiwi kuchukulia jazba wala ulaini ulaini...
Zingatia yafuatayo...
1. HAIWEZEKANI mtoto mwenye Div I agome kuendelea na masomo eti ili aolewe...
2. HAIWEZEKANI kutumia mamlaka ya wewe kuwa mzazi kumlazimisha aendelee na masomo badala ya kuolewa.
Unadhani nimejichanganya? HELL NO, I want you to be smarter kuhakikisha anaendelea na masomo huku akizipa bye bye ndoto za kuolewa kwa moyo mkunjufu...
Nitakuja kufafanua baadae kidogo lakini ngoja nikupe hint moja wapo...
UKITAKA KUUA MBWA, MPE JINA BAYA....
NOTE: Don't target your future father inlaw moja kwa moja coz' it won't work!
We mwamba salute kwako kwa kufika mbali kimaono. Jamaa ndio muoaji amekuja kusaka justifications, mana hata anavyoongea na kujibu watu anaonekana kijana na hawezi kuwa na binti wa umri huo. Mwambie atafungwa akichaguliwa!Wewe ndiye muoaji hakuna mzazi mwenye akili ya hivi wa kuleta jambo hilo jf. labda kama huyo mzazi ana miaka 25 kitu ambacho ni impossible kuwa na mtoto wa miaka 18.
usingefuatiliwa na kwa sababu umeyaleta hapa ndo utafuatiliwa sasa na lazima ufungwe jela jinga sanaNdio nimeamua kumuacha aolewe lakini vipi sheria inasemaje kuhusu hilo? Siwezi kuletewa usumbufu kwa kuruhusu binti aliyefaulu kuolewa? Maan huwa nasikia Visa huko mikoani mara mkuu wa wilaya wakamata wazazi kwa kuoza binti yao badala ya kumpeleka shule