General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ahsante mkuu...! Nimeongea nae saana ila anaonyesha alichokiamua yy ni kuolewa tu....! Na mimi nimeamua kubariki apate haja ya moyo wake, ila changamoto kisheria ikoje kuozesha binti aliyefaulu 4m4
Sheria haizungumzii mwanafunzi, bali binti alite chini ya 18yrs...
Km ni over 18yrs hata km ni mwanafunzi anaweza olewa vzr tu.
Ndio maana mwanafunzi wa chuo over 18 anaweza zaa chuoni na akaendea na shule...