USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Pole, Haupo peke yako mahusiano mengi sana huwa yaharibiwa na haya mambo ya kidini ila kwa mtoto wa kike akibadili dini ni sawa tu wazee wasikaze sana nao. [emoji4]
Inategemea na familia yaani ulikuwa ugomvi Mkubwa sana kias Kwamba sikusemeshana na babuyangu Kwa miez kadhaa mwisho nikaamua nirudi tu nimsemeshe sikuwa na namna ya kubadili Hilo
 
Hivi mnasomaga ili Nini chuo ulifata nini Kama hujielewi Bado ? Yani wewe na wazazio naona Kuna kitu hakipo sawa, Yani msioane sababu ya ujinga wenu dini hizi tumeletewa na wewe unaachana na una mpenda mnapendana kisa wazazi ..Yani nakufika chuo bado unapangiwa Cha kufanya?


By the way chat zenu pia za kitoto wote hamjakua
Yaan hizi dini hizi
 
Inategemea na familia yaani ulikuwa ugomvi Mkubwa sana kias Kwamba sikusemeshana na babuyangu Kwa miez kadhaa mwisho nikaamua nirudi tu nimsemeshe sikuwa na namna ya kubadili Hilo
Nakuelewa najua vile situation inavyokuwa pale unapoambiwa uchague kati ya wazazi over mpenzi wako inakuwa ni tough kweli lazima maamuzi yawe magumu.
 
Hebu mnisaidie mdogowenu
NB,naomba nishauriwe Kwa staha pia sitafuti mume,naheshimu watu Hawa ila nitaiweka chat hamchelew kusema ni chai
Pole sana mkuu, wazazi wamekuzuia kisa DINI mmh hizi DINI hizi,

ushauri wangu ni mdogo tu wala sio mkubwa Ila naimani utakusaidia kwa hio usinipuuze

kwanza ikubari hali uliyonayo namaanisha kubari jinsi ulivyo huyo ni wewe huwezi kua mtu mwingine na yaliyotokea yameshatokea huwezi kuyafuta kwenye ukurasa wa maisha yako hizo page kwenye kitabu Cha maisha yako zipo tu na utazisoma na kuzisoma na kuzisoma kwa hio jikubari kwa hali uliyonayo na

pili jaribu kubadirisha mtazamo (hasi) ulionao kuhusu suala la ndoa (kuogopa ukipeleka mchumba basi watamkataa) kwa kubadirisha mazingira uliyopo yaan km upo Dar na hio situation ilikukumba Dar hama nenda kahamie sehemu ambayo roho na Nafsi yako vitakua na furaha na amani kumpata yule anaekufaa,

tatu maumivu wengi tumepitia Ila tumejifunza tumeumbiwa kusahau ingawa majeraha tunaishi nayo even though situation hazifanani, wewe ni wazazi wamemkataa mchumba mwingine mchumba kamgeuka kabla ya utambulisho anaoa mtu mwingine (usaliti) jeraha hili hakiponi kwa haraka ni kila siku zinazoenda kwa Mungu unaliangalia tu kovu lako
 
Itakuwa Bado hujamaliza Kwa mwamba,hebu mtafute myajenge,hata kama si kutaka mrudiane kuweni marafiki,anyway wazazi hawakuwa sawa
 
Back
Top Bottom