Inategemea Ila Siyo Rahisi Tu Kwakuwa Ni MwanamkePole, Haupo peke yako mahusiano mengi sana huwa yaharibiwa na haya mambo ya kidini ila kwa mtoto wa kike akibadili dini ni sawa tu wazeze wasikaze sana nao. [emoji4]
Inategemea na familia yaani ulikuwa ugomvi Mkubwa sana kias Kwamba sikusemeshana na babuyangu Kwa miez kadhaa mwisho nikaamua nirudi tu nimsemeshe sikuwa na namna ya kubadili HiloPole, Haupo peke yako mahusiano mengi sana huwa yaharibiwa na haya mambo ya kidini ila kwa mtoto wa kike akibadili dini ni sawa tu wazee wasikaze sana nao. [emoji4]
Yaan hizi dini hiziHivi mnasomaga ili Nini chuo ulifata nini Kama hujielewi Bado ? Yani wewe na wazazio naona Kuna kitu hakipo sawa, Yani msioane sababu ya ujinga wenu dini hizi tumeletewa na wewe unaachana na una mpenda mnapendana kisa wazazi ..Yani nakufika chuo bado unapangiwa Cha kufanya?
By the way chat zenu pia za kitoto wote hamjakua
Unajua hawa wanawake ni watu wa kutufuata tu ndiyo maana hata kwenye uzao unahesabika ni wetu sisi wanaume nandiyo maana ukioa mwanamke anabadili jina la baba yake.Inategemea Ila Siyo Rahisi Tu Kwakuwa Ni Mwanamke
Unapoambiwa Imani Inahamisha Mlima Unatakiwa Kutafakari Sana
Nakuelewa najua vile situation inavyokuwa pale unapoambiwa uchague kati ya wazazi over mpenzi wako inakuwa ni tough kweli lazima maamuzi yawe magumu.Inategemea na familia yaani ulikuwa ugomvi Mkubwa sana kias Kwamba sikusemeshana na babuyangu Kwa miez kadhaa mwisho nikaamua nirudi tu nimsemeshe sikuwa na namna ya kubadili Hilo
Pole sana mkuu, wazazi wamekuzuia kisa DINI mmh hizi DINI hizi,Hebu mnisaidie mdogowenu
NB,naomba nishauriwe Kwa staha pia sitafuti mume,naheshimu watu Hawa ila nitaiweka chat hamchelew kusema ni chai
Imani Acha KabisaYaan hizi dini hizi
Kuwa serious huoni watu wanaliaNjoo nikuoe dada tujenge FAMILIA pamoja
Nimekupenda sana
Haha [emoji23][emoji23] umemjibu kismart sanaSio bandiko la kutafuta mume
YaanImani Acha Kabisa
Mbembeleze basi kama uo serious sanaKuwa serious huoni watu wanalia
Amenipata hata msijali wana jf wote nawahakikishia nitamlinda huyu dada na sitamtesa labda ajitese yeye tu!..😊Mungu akusaidie cute,upate chaguo sahihi
AminaAmenipata hata msijali wana jf wote nawahakikishia nitamlinda huyu dada na sitamtesa labda ajitese yeye tu!..😊