Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Vipi, huo umason wako hauwezi kukusaidia kumrudisha?! Nauliza tuu.....
 
Mwambie babako na Mamako ivo
Kwakuwa wewe tayari unachezewa kijambio unataka niwe wakala wa kuwaambia wengine ili upate wafuasi?
Umepotea step na uzi wako wa ki-delicious,pole mtoto wa watu,mwenye tabia ya mkasi,kukata mbele nyuma kuingizwa vidole.
Karibu mijini ukutane na mabahsha wakubwa.
Ila kesho ulipie tangazo.
 
U Mason Ni elaah sio Mapenzi na Hairuhusiw kujulikana kwamba napenda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] so pesa unazo ila mapenzi ndio hamna?! Tafuta lichama lingine ambalo linaweza kukufanikishia mapenzi yakawa smooth mkuu?! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] so pesa unazo ila mapenzi ndio hamna?! Tafuta lichama lingine ambalo linaweza kukufanikishia mapenzi yakawa smooth mkuu?! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Dooh Mkuu unakijuaa??
 
Hutu tutoto twa siku hizi ni Shida sana. Badala ya kukomaa na Shule unafikiria ngono tuu. Acha ujinga Dogo kaza buti mie niliishia darasa la saba kwa kukosa wa kunilipia Shule huwa nilikiona mtu anaacha kusoma anafikiria ujinga natamani nimmeze.
Maisha ni magumu tofauti na unavyofikiri ikitoka na ka GPA cha 2.5 Unakuja kuomba kazi kwangu utaambulia matusi ya nguoni mpaka ujute
 
Usijiue tu.

Maana nyie wanaume wa mikoani kujiua ndio zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…