chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mara kibao hii inatokea, watu wana footage za waharifu lakini pa kuwapata hawapaoni!
Cctv zipp kukusanya ushaidi.sio kumkamata shaidi.ila ukijua nani kafanya kesho utakuwa rahisi kumkamata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara kibao hii inatokea, watu wana footage za waharifu lakini pa kuwapata hawapaoni!
Kuna jamaa alikuwa nayo matatu, alikuwa anawalisha nyama mbichi yakawa kama simba, siku yalipotoka nje yakatafuna shingo ya mtoto wa darasa la nne na kuua hapo hapo!Nilienda kwa mkubwa fulani jamaa hana mbwa wa milioni 10 ni mmoja tena yule mbwa ni ndama kabisa .hawa mbwa hata banda lao ni chuma tupu sio kichuma sijui ni jamii hii lakini lenyewe sio la manyoa.View attachment 1595129
Vipi kama waharifu wametoka kazuramimba wamekuja kuiba mbezi beach, utawajua kwa sura?Cctv zipp kukusanya ushaidi.sio kumkamata shaidi.ila ukijua nani kafanya kesho utakuwa rahisi kumkamata
Mkuu kuna mbwa unamfuga yupo ka mbuzi, hapigi kelele hata akiona paka.Duh mbwa mbuzi ha ha ha
Mbona unawapa.mbinu mkuu?Huku kwetu vibaka walikuja wamejipaka majivu usoni, hapo cctv vipi
Ha ha ha una maana wapo humu?Mbona unawapa.mbinu mkuu?
Ha ha ha una maana wapo humu?
Wapo hawawezi kukosa, hili ni kama kokoroHa ha ha una maana wapo humu?
Kamera zote zina uwezo wa kuona hadi usikuKama ni mimi ningekuwa na option ya kuchaguwa kimoja wapo kati ya uzio wa nyaya za umeme au kamera za ulinzi bhas mimi ningechagua kamera za ulinzi. Kamera naweka na za kificho za kuona hadi usiku bhas inatosha. Hizo uzio za umeme zina namna yake ya kijinga na simple sana..bora kamera hata nikipigwa nita ambulia sura zao.
Ndio hivyo mkuu. Inawezekana hao vibaka ni vijana tu wa hapo mtaani ambao mara moja moja ukiwanunulia chakula kidogo na beer lite wanakuheshimu sana mkuu.Nimekuelewa sana hapa kaka mkubwa, tunachuma vingi tunapata tabu kuvitunza!
bothSalaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV.
Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?
Siku ukiibiwa tv yako na simu ndio utajua[emoji23][emoji23][emoji23]una roho mbaya mkuu
Zaburi 127Salaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV.
Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?
Wezi sio wakuchekea aisee[emoji23][emoji23][emoji23]dua za kuku hizi.
Mtu atavaa mask utashindwa ata kuambulia kumuona.Kama ni mimi ningekuwa na option ya kuchaguwa kimoja wapo kati ya uzio wa nyaya za umeme au kamera za ulinzi bhas mimi ningechagua kamera za ulinzi. Kamera naweka na za kificho za kuona hadi usiku bhas inatosha. Hizo uzio za umeme zina namna yake ya kijinga na simple sana..bora kamera hata nikipigwa nita ambulia sura zao.
We hujaelewa tu, ila ukijaribu anachosemaAksante kwa maoni. Lakini siku nyingine kuwa serious na mambo bwasheee
Mtu atavaa mask utashindwa ata kuambulia kumuona.
Hizi fence za umeme kwa nilivoulizia kwa wauzaji, niliwauliza vipi mtu akikata waya, nikaambiwa kuwa waya ukikatwa tu basi alarm ndani inalia. Kama ni kweli, basi bora fence ya umeme. Camera utaendelea kuibiwa tu ukiwa umelala asubuhi unatizama movie ilotokea lakini hupigi hatua, na vi camera vyenyewe usiku quality mbovu sura ata huoni vizuri.
Solution nzuri lakini ni illegal maana itakutia matatizoni na wahusika na siku ukijisahau mara mwanao au hata wewe utaathirika, ni kuweka vile vyuma kwenye ukuta wako kama vina ncha ivi, mwanzo hadi mwisho vikiwa vimeungana, unatafuta waya unaunganisha na umeme wa Tanesco, mida ya usiku unagusanisha waya na vile vyuma. Mwizi hatojua na atakuwa mzembe tu