Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

Nilienda kwa mkubwa fulani jamaa hana mbwa wa milioni 10 ni mmoja tena yule mbwa ni ndama kabisa .hawa mbwa hata banda lao ni chuma tupu sio kichuma sijui ni jamii hii lakini lenyewe sio la manyoa.View attachment 1595129
Kuna jamaa alikuwa nayo matatu, alikuwa anawalisha nyama mbichi yakawa kama simba, siku yalipotoka nje yakatafuna shingo ya mtoto wa darasa la nne na kuua hapo hapo!
 
Cctv zipp kukusanya ushaidi.sio kumkamata shaidi.ila ukijua nani kafanya kesho utakuwa rahisi kumkamata
Vipi kama waharifu wametoka kazuramimba wamekuja kuiba mbezi beach, utawajua kwa sura?
 
Duh mbwa mbuzi ha ha ha
Mkuu kuna mbwa unamfuga yupo ka mbuzi, hapigi kelele hata akiona paka.
Hawa ni mbwa mbuzi, mtu yeyote wakimuona wanamtingishia mkia, wanalala chini, mkiamka ndani marijuana na mbwa anaibiwa naye kimasihara wanaenda kumpika supu... 😀

Halafu kuna mbwa, hata mwenyewe unamuogopa, inabidi afungiwe ndiyo uingie au utoke.

Mbwa anayejua harufu za watu watano tu maximum. Watu wengine wote anagaragaza.. Hali chakula cha kutupiwa zaidi ya kile kilichowekwa wenye sahani yake.

Everyday is Saturday..............................😎
 
Kama ni mimi ningekuwa na option ya kuchaguwa kimoja wapo kati ya uzio wa nyaya za umeme au kamera za ulinzi bhas mimi ningechagua kamera za ulinzi. Kamera naweka na za kificho za kuona hadi usiku bhas inatosha. Hizo uzio za umeme zina namna yake ya kijinga na simple sana..bora kamera hata nikipigwa nita ambulia sura zao.
Kamera zote zina uwezo wa kuona hadi usiku
 
Salaam wadau.

Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV.

Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.

JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?
both
 
Zaburi 127
 
Kama ni mimi ningekuwa na option ya kuchaguwa kimoja wapo kati ya uzio wa nyaya za umeme au kamera za ulinzi bhas mimi ningechagua kamera za ulinzi. Kamera naweka na za kificho za kuona hadi usiku bhas inatosha. Hizo uzio za umeme zina namna yake ya kijinga na simple sana..bora kamera hata nikipigwa nita ambulia sura zao.
Mtu atavaa mask utashindwa ata kuambulia kumuona.

Hizi fence za umeme kwa nilivoulizia kwa wauzaji, niliwauliza vipi mtu akikata waya, nikaambiwa kuwa waya ukikatwa tu basi alarm ndani inalia. Kama ni kweli, basi bora fence ya umeme. Camera utaendelea kuibiwa tu ukiwa umelala asubuhi unatizama movie ilotokea lakini hupigi hatua, na vi camera vyenyewe usiku quality mbovu sura ata huoni vizuri.

Solution nzuri lakini ni illegal maana itakutia matatizoni na wahusika na siku ukijisahau mara mwanao au hata wewe utaathirika, ni kuweka vile vyuma kwenye ukuta wako kama vina ncha ivi, mwanzo hadi mwisho vikiwa vimeungana, unatafuta waya unaunganisha na umeme wa Tanesco, mida ya usiku unagusanisha waya na vile vyuma. Mwizi hatojua na atakuwa mzembe tu kugusa.
 
Aksante kwa maoni. Lakini siku nyingine kuwa serious na mambo bwasheee
We hujaelewa tu, ila ukijaribu anachosema
Wala hutopoteza muda na cctv

Na mimi naongeza
"Kama MUNGU halindi, alindae akesha bure"
 
Vipi kutumia CCTV na visibility Sensor ambayo itatoa alarm kwako ila kibaka hatajua kama wewe umepata alarm. Halafu akiingia anakutana na nondo ya kichwa
 
Nakushauri fuga mbwa spesheli wa ulinzi na watoto utauza its a win win situation
 
Mtu atavaa mask utashindwa ata kuambulia kumuona.

Hizi fence za umeme kwa nilivoulizia kwa wauzaji, niliwauliza vipi mtu akikata waya, nikaambiwa kuwa waya ukikatwa tu basi alarm ndani inalia. Kama ni kweli, basi bora fence ya umeme. Camera utaendelea kuibiwa tu ukiwa umelala asubuhi unatizama movie ilotokea lakini hupigi hatua, na vi camera vyenyewe usiku quality mbovu sura ata huoni vizuri.

Solution nzuri lakini ni illegal maana itakutia matatizoni na wahusika na siku ukijisahau mara mwanao au hata wewe utaathirika, ni kuweka vile vyuma kwenye ukuta wako kama vina ncha ivi, mwanzo hadi mwisho vikiwa vimeungana, unatafuta waya unaunganisha na umeme wa Tanesco, mida ya usiku unagusanisha waya na vile vyuma. Mwizi hatojua na atakuwa mzembe tu
 
Back
Top Bottom