Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

Joja empire

Member
Joined
Aug 29, 2023
Posts
7
Reaction score
12
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.

Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima hatujaonana anaishia kupiga video call tu. Kila nikichukua uamuzi wa kumuacha analia na kuomba nisimuache eti ananipenda sana! Kila ninachokiomba ananipa isipokuwa muda tu, sasa mi nashindwa kufurahia mahusiano yangu cjui nafanyaje 😭
 
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu...
Aaliyyah sii onaona nilikwambia huwezi kupata vyote....huyu huduma anapewa ila muda na bby wake tabu.
 
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu...
Hapa shida kubwa inaonekana ni mzagamuo.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hapa katiba mpya hakuna kwa hizi akili
20230731_031759.jpg
 
Back
Top Bottom