Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu...
Unavyopewa ndio vimechukua huo mda wake so chagua upewe mda au vitu ni suala la kuamua
 
Back
Top Bottom