Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.

Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima hatujaonana anaishia kupiga video call tu. Kila nikichukua uamuzi wa kumuacha analia na kuomba nisimuache eti ananipenda sana! Kila ninachokiomba ananipa isipokuwa muda tu, sasa mi nashindwa kufurahia mahusiano yangu cjui nafanyaje 😭
Muache
 
Elewa tu kwamba kabla hajakupata alikuwa malaika sasa kashakupata huna pa kwenda haangaike na wewe ya nini[emoji2]

Ni hivi wenginee sio watu wa kujali sana hawafanani Kama anakupa hela ana kuheshimu tulia muda unataka uufanyie nini tafuta marafiki huyo sio rafikio
 
Elewa tu kwamba kabla hajakupata alikuwa malaika sasa kashakupata huna pa kwenda haangaike na wewe ya nini
emoji2.png

Ni hivi wenginee sio watu wa kujali sana hawafanani Kama anakupa hela ana kuheshimu tulia muda unataka uufanyie nini tafuta marafiki huyo sio rafikio
Nimekuelewa asante
Elewa tu kwamba kabla hajakupata alikuwa malaika sasa kashakupata huna pa kwenda haangaike na wewe ya nini[emoji2]

Ni hivi wenginee sio watu wa kujali sana hawafanani Kama anakupa hela ana kuheshimu tulia muda unataka uufanyie nini tafuta marafiki huyo sio rafikio
Asante nimekuelewa
 
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.

Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima hatujaonana anaishia kupiga video call tu. Kila nikichukua uamuzi wa kumuacha analia na kuomba nisimuache eti ananipenda sana! Kila ninachokiomba ananipa isipokuwa muda tu, sasa mi nashindwa kufurahia mahusiano yangu cjui nafanyaje [emoji24]
Hamuonani mwezi?? Je anakunyandua fresh? Maana wengine hutumia kivuli cha demu ili aonekane ana mahusiano kumbe shoga kwahyo atakupa vyote kasoro muda na sex au atakupa sex dhaifu, kwahyo hapo akili kumkichwa, ila kama yupo fresh ubize ni jambo la kawaida
 
Muachee aiseee mwanaume kukupa Muda wake ni muhimu kuliko kukupa hela na mahitaji yakooo... Ukiomba ushauru wa kijinga unapewa mawazo ya kipumbavu ili twende sawa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hamuonani mwezi?? Je anakunyandua fresh? Maana wengine hutumia kivuli cha demu ili aonekane ana mahusiano kumbe shoga kwahyo atakupa vyote kasoro muda na sex au atakupa sex dhaifu, kwahyo hapo akili kumkichwa, ila kama yupo fresh ubize ni jambo la kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuu ila watu, woiiiih
 
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.

Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima hatujaonana anaishia kupiga video call tu. Kila nikichukua uamuzi wa kumuacha analia na kuomba nisimuache eti ananipenda sana! Kila ninachokiomba ananipa isipokuwa muda tu, sasa mi nashindwa kufurahia mahusiano yangu cjui nafanyaje [emoji24]
Achana naye ukaoje jasho la jiwe
 
Back
Top Bottom