Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

Muache
 
Elewa tu kwamba kabla hajakupata alikuwa malaika sasa kashakupata huna pa kwenda haangaike na wewe ya nini[emoji2]

Ni hivi wenginee sio watu wa kujali sana hawafanani Kama anakupa hela ana kuheshimu tulia muda unataka uufanyie nini tafuta marafiki huyo sio rafikio
 
Nimekuelewa asante
Asante nimekuelewa
 
Hamuonani mwezi?? Je anakunyandua fresh? Maana wengine hutumia kivuli cha demu ili aonekane ana mahusiano kumbe shoga kwahyo atakupa vyote kasoro muda na sex au atakupa sex dhaifu, kwahyo hapo akili kumkichwa, ila kama yupo fresh ubize ni jambo la kawaida
 
Yaani mwenzio kaongea kwa mafumbo...hiyo kusema muda wake akimaanisha jamaa hamgegedi. Bibie anataka de libolo jamaa anaishia piga video call tuu
Ko mkuu unataka kushuhulikia mzigo nini... hahahaha
 
Muachee aiseee mwanaume kukupa Muda wake ni muhimu kuliko kukupa hela na mahitaji yakooo... Ukiomba ushauru wa kijinga unapewa mawazo ya kipumbavu ili twende sawa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tafuta Jobless utashinda naye kila siku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuu ila watu, woiiiih
 
Achana naye ukaoje jasho la jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…