Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

hiyo timu imeuliwa na viongozi , ujuaji usiokua na maana...manara aliongea ukweli wakatuma machawa wamjibu..nonsense team..unamuuza ecua unabaki unamtegemea mwanengo
Eng. Hersi inamtafuna laana ya kuachana makocha wazuri kizembe na kirahisi kwa kiburi cha ujuaji wake. Akajiona kama Perez wa bongo vile, sasa kafeli kwa sajili zake zote kwanzia makocha hadi wachezaji kwanzia dirisha kubwa hadi dirisha dogo. Gamondi na Miloud walikuwa best technician kwa Yanga na waliipa Yanga asilimia 80+ ya kupata matokeo bila kujali inacheza dhidi ya mpinzani wa aina gani
 
Eng. Hersi inamtafuna laana ya kuachana makocha wazuri kizembe na kirahisi kwa kiburi cha ujuaji wake. Akajiona kama Perez wa bongo vile, sasa kafeli kwa sajili zake zote kwanzia makocha hadi wachezaji kwanzia dirisha kubwa hadi dirisha dogo. Gqmondi na Miloud walikuwa best technician kwa Yanga na waliipa Yanga asilimia 80+ ya kupata matokeo bila kujali inacheza dhidi ya mpinzani wa aina gani
Miloud was a perfect replacement for Saed Ramovic.

Sijui ujinga na ukiburi gani ulimjaa Eng akaona aachane na Miloud.
 
Hata mimi nilishangaa sana uongozi kuachana na kocha Miloud Hamdi ambaye alifit kwenye timu ndani ya muda mfupi, halafu eti wakamleta uso wa mbuzi Romain Folz!! Tangia hapo, timu imebakia kuwa ni tia maji tia maji.
 
hiyo timu imeuliwa na viongozi , ujuaji usiokua na maana...manara aliongea ukweli wakatuma machawa wamjibu..nonsense team..unamuuza ecua unabaki unamtegemea mwanengo
Ecua mchezaji wa hovyo wa kizamani.
Anapenda kukaa na mpira muda mrefu kisha aunapoteza.
Hawezi one au two touches na kuachia unauomba tena kwenye nafasi.
 
Hata mimi nilishangaa sana uongozi kuachana na kocha Miloud Hamdi ambaye alifit kwenye timu ndani ya muda mfupi, halafu eti wakamleta uso wa mbuzi Romain Folz!! Tangia hapo, timu imebakia kuwa ni tia maji tia maji.
Eng Hersi na viongozi wengine ndo wamezingua
Wamekubali vipi kucheza Kwa ratiba hii ngumu
Yaani unakubali kucheza kabla ya saa 72 kama kanuni inavoelekeza tena mechi ya away
Bado naamini uongozi wa Yanga
 
Eng. Hersi inamtafuna laana ya kuachana makocha wazuri kizembe na kirahisi kwa kiburi cha ujuaji wake. Akajiona kama Perez wa bongo vile, sasa kafeli kwa sajili zake zote kwanzia makocha hadi wachezaji kwanzia dirisha kubwa hadi dirisha dogo. Gqmondi na Miloud walikuwa best technician kwa Yanga na waliipa Yanga asilimia 80+ ya kupata matokeo bila kujali inacheza dhidi ya mpinzani wa aina gani
💯💯💯
 
Back
Top Bottom