Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

Timu zinajaza wachezaji wengi wa kigeni wakati hawana mpira wowote wa maana. Sheria iruhusu timu kuwa na wachezaji wa kigeni wasiozidi watano na kati ya hao ni watatu tu ndio waruhusiwe kucheza kwenye mechi moja ya ligi.

Kwenye mechi za kimataifa ndio waruhusiwe kucheza wachezaji watano katika mechi moja.

Kuna ufisadi mkubwa sana kwenye kusajili wachezaji wa kigeni kwani viongozi hupiga sana dili na ndio maana wanataka wachezaji wa kigeni wawe karibu nusu ya timu nzima hata kama hawana mpira wowote wa maana. Bure kabisa.
 
Hata mimi nilishangaa sana uongozi kuachana na kocha Miloud Hamdi ambaye alifit kwenye timu ndani ya muda mfupi, halafu eti wakamleta uso wa mbuzi Romain Folz!! Tangia hapo, timu imebakia kuwa ni tia maji tia maji.
Tukubaliane tu kwamba kiburi cha Hersi kinaweza kikawa na matokeo hasi ndani ya club, licha ya perfomance mbovu ya Folz ila bado aliendelea kumbakiza hadi timu ikawa sehemu mbaya zaidi. Tangia hapo nikajua jamaa ana kiburi na majivunk ya kipuuzi sana. Anaiona Yanga kama timu ya baba yake.
 
Yanga tangu ilivyo Anza huu msimu nilisha Iona kuwa hakuna timu ya maana pale , timu imepoteza ubora wake kama Malaya wa uwanja wa Fisi haieleweki hata inachezaje

Kutoka kuwa na mchezaji kama Aziz ki mpaka kuwa na mchezaji sijui okelo kalegea legea kinoma halafu wenyewe ndio wanamsifia kinyama 🤣🤣😁

What a flop 🙌
Okello anaujua mpira kwasababu mimi ninayekuambia nimecheza mpira siropoki kama wewe ulieujulia mpira baada ya kuwa na smartphone tatizo kubwa la Yanga ni kocha
 
Tunasahau kuwa kocha pia anaweza kusababisha mchezaji ashuke kiwango, ama mchezaji akaonekana mbaya. Leo tunaongelea pengo la Aucho lakini Miloud hilo kwake haijawahi kuwa changamoto kwake kutokana na system yake ya uchezaji. Azam ambao huwa wanachezaga mpira mkubwa dhidi ya Yanga alipigika vizuri tu na Yanga pasipo uwepo wa Aucho. Gamondi alicheza mechi mbili vs Mamelodi pasipo uwepo wa Aucho na wachezaji wengine wawili ambao ni muhimu sana.

Mfumo mzee ndiyo kila kitu kwenye soka la kisasa la kiufundi na kimbinu, kocha kubwa lililofanyika ni kuwaacha Gamondi kizembe japokuwa kulikuwa na sababu za msingi kwa wao viongozi ila kwa Miloud ambaye alikuwa yupo tayari kupewa mkataba mpya Yanga kisha wakamfungia vioo hiyo itamtafuna Eng Hersi upepo wake unaelekea kukata sasa anaonekana ni mbahatishaji wakati mwanzo alionekana ni mtu makini kwenye scouting.
Kugoma kumrejesha Gamond alizingua sana.
 
Okello anaujua mpira kwasababu mimi ninayekuambia nimecheza mpira siropoki kama wewe ulieujulia mpira baada ya kuwa na smartphone tatizo kubwa la Yanga ni kocha
Okello ni mchezaji mzuri sana yule dogo, ukitaka kujua ubora wake basi angalia alivyocheza mechi zake mbili za kwanza tena dhidi ya mpinzani bora Africa (Al Ahly) nilivyomuona tu zile mechi mbili nikaona dogo ana kitu miguuni kwake. Ila kinachotokea kwake ndio kinachotokea kwa kila mchezaji wa Yanga kwasasa kwa kuporomoka viwango. Abuya kashuka, Maxi kashuka, Pacome kashuka, na wengine wote wameshuka kabakia Diara peke yake kwenye ubora wake.

Hiyo ni dalili tosha kuwa benchi la ufundi haliongezi kitu kwasasa bali inashusha tu morali, na ubora wa wachezaji. Upande wa kocha wa viungo naye ni vile vile hakuna kitu mle.
 
Nakazia, yule dogo mpira anajua.
Kuujua mpira, haina mjadala! Ila ulegevu na woga, ni kweli anao. Hivyo anatakiwa ajengwe kisaikolojia kwa sababu ligi ya Bongo ni yofauti na ile ya kwao Uganda! Lakini pia aongeze stamina na pumzi.

Kwenye ukweli, tuwe tu wakweli. Dogo alisajiliwa ligi ya Kaskazini mwa Afrika, alichemka kwa sababu ya huu ulegevu wake.
 
Okello anaujua mpira kwasababu mimi ninayekuambia nimecheza mpira siropoki kama wewe ulieujulia mpira baada ya kuwa na smartphone tatizo kubwa la Yanga ni kocha
Huna Akili , Mimi nimecheza mpira I was star to the street makumbusho nzima dar walikuwa wananijua kinesi ndio usiseme

Mtu anaye jua mpira namjua vyema the way anavyo pokea tu pasi mikimbio yake dribbling , assist Wala haipaswi kuambiwa kuwa huyu mpira anaujua
 
Kama mpira unaujua basi HUWEZI kusema Okello ni mchezaji wa kawaida.
 
Kama mpira unaujua basi HUWEZI kusema Okello ni mchezaji wa kawaida.
Mimi nimecheza mpira mpira ninaujua mchezaji mpira kweli hawezi kuwa okello yule Yuko hyped Sana lakini uwezo wake ni wakawaida that's why nika kuambia mtu anayejua kucheza mpira they he reserve the ball unajua tu Yuko talented
 
Huna Akili , Mimi nimecheza mpira I was star to the street makumbusho nzima dar walikuwa wananijua kinesi ndio usiseme

Mtu anaye jua mpira namjua vyema the way anavyo pokea tu pasi mikimbio yake dribbling , assist Wala haipaswi kuambiwa kuwa huyu mpira anaujua
Mpuuzi wewe hauoni aibu kudanganya eti dar mzima wakujue labda wakujue kama *****....mtu yeyote aliecheza mpira hawezi kusema eti okello hajui mpira mbuzi wewe
 
Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
Kama mpira huujui,jifunze kwanza,kuliko kutoa maoni ambayo unajianika uchi huku umejinyea
 
Back
Top Bottom