hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hivi kwanini walimtoa miloud at least alikuwa amejitahidi kuvaa viatu vya gamondHata mimi nilishangaa sana uongozi kuachana na kocha Miloud Hamdi ambaye alifit kwenye timu ndani ya muda mfupi, halafu eti wakamleta uso wa mbuzi Romain Folz!! Tangia hapo, timu imebakia kuwa ni tia maji tia maji.
Hapo yanga inaonekana Kuna tatizo kubwa sana Kuna mtu anapenda kujiona ni Mungu mtu haiwezekani Makocha wazuri wawe hawadumu