Hivi kwanini walimtoa miloud at least alikuwa amejitahidi kuvaa viatu vya gamondHata mimi nilishangaa sana uongozi kuachana na kocha Miloud Hamdi ambaye alifit kwenye timu ndani ya muda mfupi, halafu eti wakamleta uso wa mbuzi Romain Folz!! Tangia hapo, timu imebakia kuwa ni tia maji tia maji.
yan kila mechi ikifanya vibaya kocha analaumiwa jifunz kwa simba kidogAmekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
😃😃😃😃Mungu ikikupendeza ubingwa uwe wetu mwaka huu, tumeteseka sana
Bado hadi mumfukuze na injinia kenge nyie!!!Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
KUshindwa kuheshimu profession ya kocha huenda imechangia... Nafikiri haoni huo ubora kwa kuwa labda sehemu kubwa ya ushindi inapatikana nje ya uwanja...Eng. Hersi inamtafuna laana ya kuachana makocha wazuri kizembe na kirahisi kwa kiburi cha ujuaji wake. Akajiona kama Perez wa bongo vile, sasa kafeli kwa sajili zake zote kwanzia makocha hadi wachezaji kwanzia dirisha kubwa hadi dirisha dogo. Gamondi na Miloud walikuwa best technician kwa Yanga na waliipa Yanga asilimia 80+ ya kupata matokeo bila kujali inacheza dhidi ya mpinzani wa aina gani
ChaiAmekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
Chaihiyo timu imeuliwa na viongozi , ujuaji usiokua na maana...manara aliongea ukweli wakatuma machawa wamjibu..nonsense team..unamuuza ecua unabaki unamtegemea mwanengo
ChaiShida Yanga ni 2 tu.
1. Kubadilisha makocha na benchi la ufundi ndani vipindi vifupi vifupi.
2. Kushindwa kuendelea kusajili wachezaji wa kaliba ile ile.
Ni jambo la kustaajabisha sana. Na tangu aondoke Miloud Hamdi, ni kama Yanga ilipoteza muelekeo.Hivi kwanini walimtoa miloud at least alikuwa amejitahidi kuvaa viatu vya gamond
Hapo yanga inaonekana Kuna tatizo kubwa sana Kuna mtu anapenda kujiona ni Mungu mtu haiwezekani Makocha wazuri wawe hawadumu
Na huu ni ukweli mchungu. Usajili uliofanyika dirisha kubwa lililopita, na pia kwenye dirisha dogo lililo fuata, kiukweli hakuna kitu! Wachezaji wengine walisitishiwa mikataba, wengine wamepelekwa timu nyingine kwa mkopo, na wachache walkobakia kwenye klabu, hawana mchango wowote wa kueleweka!Yanga imefeli kwenye madirisha ya usajili takribani mawili.
Huu ni ukweli ambao hausemwi, ama ulikuwa unafichwa kwenye kichaka cha matokeo na 'Ubingwa'.
Ukiangalia kwa karibu, wachezaji wanaopafomu ni wale ambao walisajiliwa madirisha mawili nyuma na sio hawa wa sasa.
Ni muhimu wakae chini na wachore ramani upya.
Hata Simba ilianza kujifia hivi hivi, wanakuja kushtuka kumepambazuka.
shida sio kocha..shida ipo kwa wachazaji..Wachezaji wamechoka lakini pia usajili wanasajili wachezaji wa kiwango duni halafu wanawapamba sana..Binafsi sijaona Mbadala wa Mayele na Aziz Ki..Pale kuna wajezaji wanauzoefu lakin wanakosa ujuzi binafsi wa kuamua mambo timu ikiwa imebanwa..Mtafukuza makocha sana..Hata mbadala wa Halid Aucho simuona pale..We Ona mnamsifia Max hata Timu ya taifa sub hayupo..Muda sahv kajichokea..Dube ndo haelewek kabisa..Damaro Kamara nguvu nyingi akili ndogo anakaba kwa vurugu..Duke kidogo anajitahdi..Pacome kabaki kucheza kimadaha tu hana lolote naye kajichokea..Dupe nguvu nyingi akili kidogo..Kimo cha waha (Yao) anaujua mpira ila kimo kinamnyonga..Baka kidogo anajitahidi..Nyeto anajitahidi japo anatumakosa fulani..Job yupo vizuri..ShekeliAmekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
Tunasahau kuwa kocha pia anaweza kusababisha mchezaji ashuke kiwango, ama mchezaji akaonekana mbaya. Leo tunaongelea pengo la Aucho lakini Miloud hilo kwake haijawahi kuwa changamoto kwake kutokana na system yake ya uchezaji. Azam ambao huwa wanachezaga mpira mkubwa dhidi ya Yanga alipigika vizuri tu na Yanga pasipo uwepo wa Aucho. Gamondi alicheza mechi mbili vs Mamelodi pasipo uwepo wa Aucho na wachezaji wengine wawili ambao ni muhimu sana.shida sio kocha..shida ipo kwa wachazaji..Wachezaji wamechoka lakini pia usajili wanasajili wachezaji wa kiwango duni halafu wanawapamba sana..Binafsi sijaona Mbadala wa Mayele na Aziz Ki..Pale kuna wajezaji wanauzoefu lakin wanakosa ujuzi binafsi wa kuamua mambo timu ikiwa imebanwa..Mtafukuza makocha sana..Hata mbadala wa Halid Aucho simuona pale..We Ona mnamsifia Max hata Timu ya taifa sub hayupo..Muda sahv kajichokea..Dube ndo haelewek kabisa..Damaro Kamara nguvu nyingi akili ndogo anakaba kwa vurugu..Duke kidogo anajitahdi..Pacome kabaki kucheza kimadaha tu hana lolote naye kajichokea..Dupe nguvu nyingi akili kidogo..Kimo cha waha (Yao) anaujua mpira ila kimo kinamnyonga..Baka kidogo anajitahidi..Nyeto anajitahidi japo anatumakosa fulani..Job yupo vizuri..Shekeli
Gamond alikuta vijana wa Nabi bado wamoto lakin pia palikuwa na fundi Aziz Ki..Tunasahau kuwa kocha pia anaweza kusababisha mchezaji ashuke kiwango, ama mchezaji akaonekana mbaya. Leo tunaongelea pengo la Aucho lakini Miloud hilo kwake haijawahi kuwa changamoto kwake kutokana na system yake ya uchezaji. Azam ambao huwa wanachezaga mpira mkubwa dhidi ya Yanga alipigika vizuri tu na Yanga pasipo uwepo wa Aucho. Gamondi alicheza mechi mbili vs Mamelodi pasipo uwepo wa Aucho na wachezaji wengine wawili ambao ni muhimu sana.
Mfumo mzee ndiyo kila kitu kwenye soka la kisasa la kiufundi na kimbinu, kocha kubwa lililofanyika ni kuwaacha Gamondi kizembe japokuwa kulikuwa na sababu za msingi kwa wao viongozi ila kwa Miloud ambaye alikuwa yupo tayari kupewa mkataba mpya Yanga kisha wakamfungia vioo hiyo itamtafuna Eng Hersi upepo wake unaelekea kukata sasa anaonekana ni mbahatishaji wakati mwanzo alionekana ni mtu makini kwenye scouting.
Aaaaaamin inshallahMungu ikikupendeza ubingwa uwe wetu mwaka huu, tumeteseka sana
Mpira hauko hivyo mkuu, Gamondi ni kocha wa kimbinu na anayependa kukutana na changamoto ya kucheza vs mechi kubwa na vs mechi yenye presha. Kukuta wachezaji na kuwa maintain katika ubora wao na kuwafanya wawe bora zaidi sio jambo dogoGamond alikuta vijana wa Nabi bado wamoto lakin pia palikuwa na fundi Aziz Ki..