454
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 136
- 193
Kwanza nikupongeze kwa kufikiria na kuamua kujiajiri,rafiki Yangu anafanya biashara hio na niliwahi kumuuliza akanijibu ni biashara nzuri sana ila faida yake ni ndogo sana na inahitaji mtaji mkubwa atlist 20 million.katon1 ya maji ina faida ya sh.200 tu na katon ya soda au juice ina faida hiohio ili uweze kupata faida lazima uuze atlist milioni 2 kwa siku na ili upate hio faida ya 200 lazima uletewe mzigo na gari ya kiwanda,ukikodi gari imekula kwako hutapata hiyo 200