Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

Unaweza ni kupangilia nini mahitaji yako ya msingi then unaweka mzigo sokoni na kukimbiza vile ipasavyo.
 
lNaona kama faida yake ndogo, maana faida ya kreti ya soda ni Tsh 2000 na maji ni 1500 sasa ili upate faida angalau Tsh 10000,inakubidi uuze kreti 5 sawa na soda 120, biashara ngumu.
Hapo umeongea point mkuu,nipe idear nyngine bs
 
lNaona kama faida yake ndogo, maana faida ya kreti ya soda ni Tsh 2000 na maji ni 1500 sasa ili upate faida angalau Tsh 10000,inakubidi uuze kreti 5 sawa na soda 120, biashara ngumu.
[emoji102] [emoji102] kama ndio hivyo bora juice
 
Write your reply. Uza mitumba, usichukue Belo bali uwe unaenda mwenyewe unachagua nguo nzuri unatembeza.
 
Habar wanajamvi

Nina mtaji wa sh 500,000 nawaza kufungua biashara ya kuuza soda na maji.

Mwenye uzoefu na biashara hii anipe experience yake.

Nataka kujua kama inalipa.

Ahsante!
Nunua laptop ya laki 3, laki moja ifanye working capital na laki moja nyingine ifanye capital employed kwenye forex trading hautojutia.

Forex Beginner.
 
TRAIN (3).jpg
 
Naomba unielekeze dear hiyo kitu ni pm basi
Hii ni biashara ya kuuza na kununua fedha za kigeni .mimi ni beginner wa hii kitu na naendelea na kusoma vitabu mbalimbali naomba nicheck kwa text 0656673083 jitambulishe vizuri ukituma text yako.

Forex Beginner.
 
Mkuu bila fridge? Maana kwa hio pesa hata bei ya fridge haitoshi
 
Kumbe hii biashara inataka moyo. Yaani uuze kreti mia ndo kwanza una make 20k, duh!!
 
Habari wakuu, kulingana na hali ya mambo ilivyo hasa kwa graduates nimeamua kujilipua katika kuanzisha biashara ya kuuza vinywaji baridi, cake, biskut na zaga ndogo ndogo lengo nikuze mtaji kisha niligeuze kuwa duka la kawaida, kwa sasa mtaji wangu ni kama milioni mbili

Nimefuatilia freeze bei haizidi laki SITA

Kodi ya pango wastani ni laki kwa mwezi.

Ushauri

Je ni hatua zipi natakiwa kuanza nazo kuanzia nazo? Kama TRA Nk.
 
Back
Top Bottom