Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)


Ahsante ninatakiwa kwenda kiwandani moja kwa moja ama kuna hatua za kufuata?
 
Ahsante ninatakiwa kwenda kiwandani moja kwa moja ama kuna hatua za kufuata?

Huwa wanasambaza na magari yao...

Kama unamfahamu mtu wa baa anaweza kukusaidia namba za wale jamaa wasambazaji...

Binafsi sina maelezo ya kutosheleza kujua huwa wanawasilianaje hata kuletewa mzigo wa vinywaji...
 
Habari wakuu!!


Naombeni msaada tafadhali wa kufahamu kuhusu hii biashara hususani ni process zipi za kufuatilia kwenye makampuni haya ya bia?

Na pia wanahitaji nin hasa ili kumpatia mtu kua agent eneo fulani?..na mwisho nitapendelea kujua faida na changamoto za biashara hii.

Natanguliza shukrani za dhati
Asanteni sana!
 
Ni pm
 
tafuta biashara ya halali mkuu hiyo biashara itakufanya ufe masikini
 
Kwani hyo cyo halali inlipa cret ya bia rejrej yenywe faid 8000 kwa cret 1
 
Kwani hyo cyo halali inlipa cret ya bia rejrej yenywe faid 8000 kwa cret 1
Mungu amekataza ulevi na kamari hizo ni amali za shetani ndugu zangu,hakika Mungu anatupenda na atusamehe sana!
 
Habari za muda huu, naombeni ushauri nataka kufanya biashara ya vinywaji vikali, nipeni uzoefu
 
Sema ulipo basi maana kuna sehemu zingine unaweza ukashindwa ku wine mfano, Kondoa, Mikindani, Zanzibar, Ujiji and the like.

Hiyo biashara ni nzuri sana na inawateja wazuri (si unajua ndio wanategemewa kwenye pato la nchi). Cha muhimu uwe makini hasa kukopesha wengi wanaokopa pombe huwa hawalipi. Pia uwe na choo safi, uwe MSIRI usiwe mdomo wazi. Uwe na vipozeo kama uko sehemu za joto. mwisho uweke wahudumu waliosomea masuala ya hotel sio utafute cheep labour ambao hata kufungua wine au vodka ana shindwa
 
Mmi Niko mbeya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…