Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

Pesa halali mkuu..kulikuwa na haja[emoji23][emoji23]

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Mimi muuza kiepe tu wasije kuniona nafungua kiwanda changu wakasema nimehujumu uchumi

CC Zero IQ
 
Kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya ushonaji hili ni jukwaa letu la kutuunganisha sote, kubadirishana mawazo na kupeana ideas mbalimbali.

kwa kuanza,natafuta lebo za nguo kwaajili ya kubandika kwenye nguo ili ziwe na muonekano mzuri
 
Upo wapi mkuu na Ni lebel za Aina gnani ya Nguo.Mashuka,pazia,nhuo za kiume,za kike au za watoto?
 
Kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya ushonaji hili ni jukwaa letu la kutuunganisha sote, kubadirishana mawazo na kupeana ideas mbalimbali.

kwa kuanza,natafuta lebo za nguo kwaajili ya kubandika kwenye nguo ili ziwe na muonekano mzuri

Mcheki mtu kijana anaitwa FM graphics Instagram anatengeneza hizi Mambo..
 
Wanazengo, Mimi nilikuwa na shida ya fundi cherehani/ nguo. Wapi naweza kuwapata au Kama mtu anaweza niunganisha na mmoja?
Unataka kushonewa nguo kama uko dar nikuunganishe nae.
 
Wanazengo, Mimi nilikuwa na shida ya fundi cherehani/ nguo. Wapi naweza kuwapata au Kama mtu anaweza niunganisha na mmoja?
Hawa watu kuwapata ni changamoto,wengi wanakimbilia kwenye kujiajiri....ingawa mimi pia nategemea kuja kufanya hii biashara siku za mbeleni itanibidi mimi niwafuate huko huko vyuoni.
 
Back
Top Bottom