Mimi muuza kiepe tu wasije kuniona nafungua kiwanda changu wakasema nimehujumu uchumiPesa halali mkuu..kulikuwa na haja[emoji23][emoji23]
However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya ushonaji hili ni jukwaa letu la kutuunganisha sote, kubadirishana mawazo na kupeana ideas mbalimbali.
kwa kuanza,natafuta lebo za nguo kwaajili ya kubandika kwenye nguo ili ziwe na muonekano mzuri
Unataka kushonewa nguo kama uko dar nikuunganishe nae.Wanazengo, Mimi nilikuwa na shida ya fundi cherehani/ nguo. Wapi naweza kuwapata au Kama mtu anaweza niunganisha na mmoja?
asante sana mkuuMcheki mtu kijana anaitwa FM graphics Instagram anatengeneza hizi Mambo..
za nguo za watoto zile tunazobandika nyumaUpo wapi mkuu na Ni lebel za Aina gnani ya Nguo.Mashuka,pazia,nhuo za kiume,za kike au za watoto?
Hawa watu kuwapata ni changamoto,wengi wanakimbilia kwenye kujiajiri....ingawa mimi pia nategemea kuja kufanya hii biashara siku za mbeleni itanibidi mimi niwafuate huko huko vyuoni.Wanazengo, Mimi nilikuwa na shida ya fundi cherehani/ nguo. Wapi naweza kuwapata au Kama mtu anaweza niunganisha na mmoja?
Unataka wa kuajiri?Wanazengo, Mimi nilikuwa na shida ya fundi cherehani/ nguo. Wapi naweza kuwapata au Kama mtu anaweza niunganisha na mmoja?
Ndio nahitaji ni muajiri...Unataka wa kuajiri?
Uko mkoa gani na je utakubali wa kutoa mkoa mwingine?Ndio nahitaji ni muajiri...
Mkuu nikimaliza masomo ntakuja kuomba hii ajiraHawa watu kuwapata ni changamoto,wengi wanakimbilia kwenye kujiajiri....ingawa mimi pia nategemea kuja kufanya hii biashara siku za mbeleni itanibidi mimi niwafuate huko huko vyuoni.
Naomba namba nikucheki..Uko mkoa gani na je utakubali wa kutoa mkoa mwingine?
Unasomea ushonaji?
haina shida mkuu, unachukua fani gani?