Enthusiastic
Senior Member
- Dec 21, 2023
- 109
- 256
Hii ni poverty mentality. Si kazi ya mbunge kututua changamoto za kifedha za wananchi. Mbunge anaweza kuhamasisha na kuchangia fedha katika miradi jimboni kwake. Jamii ielimishwe kuwa si kazi ya mbunge kugawa helaHili la wabunge walipe kodi nasema hapana, hawa wanazo familia mbili mbili za kutunza, yaani Dodoma na jimboni kwake na mwisho hawatakiwa kuwa na mawazo ya siku ya mshahara ili waweze kututumikia vizuri.
Kodi hukusanywa chache kwa kila mtu, hizo chache ndizo zinafanya ziwe nyingi, senti moja hufanya shilingi.Hiyo kodi wanalipa. Msikilize Kibajaji hapo.
Halafu, milioni 360 kwa mwezi katika hesabu za kuendesha nchi ni hela ndogo sana.
Hatuwezi kuendelea kwa kubana matumizi na kutoza kodi viongozi (ambao ni wachache sana ukiwalinganisha na mamilini ya wananchi) kama uzalishaji haujaongezeka.
Nchi inaendelea kwa mamilioni ya watu kuongeza uzalishaji na kulipa kodi.
Ingawa kubana matumizi mabaya ya viongozi ni kitu muhinu, nchi haiendelei kwa kubana matumizi ya viongozi bila mkakati wa kuongeza uzalishaji kwa mamilioni ya wananchi.
Sawa.Kodi hukusanywa chache kwa kila mtu, hizo chache ndizo zinafanya ziwe nyingi, senti moja hufanya shilingi.
Halipo hata bili ya maji. Na hayakatiki,Kumbe rais halipi kodi?
mbona yule jamaa mwijaku anagalagala na suti mavumbini akimsifu rais kwa kutoa mabilion
mi nkajua anaupiga mwingi kwa kulipa kodi kubwa sana kuliko raia wote!!
Ina maana halipi hata senti moja?
Unahimiza watu walipe kodi huku mshahara wako haukatwi koti?Hajui hata Bei ya mkate Wala luku!
Mbali na matumizi,Tatizo sio Makusanyo, Kodi tunalipa na wengi wanakamuliwa even beyond their means...., Issue ya muhimu kabisa ni matumizi ya hio Kodi hakuna Value for Money..., Kama watu wangeona Kodi zao zinatumika ipasavyo na hazivujwi basi wangekuwa hata wanakumbushia iwapo wakisahaulika...
Inabidi vyote kwa pamoja vifanyike. Kodi ni lazima iwe jumuishi hata hao viongozi waone umuhimu wa kupitisha sera zinazokuza uchumi.Hiyo kodi wanalipa. Msikilize Kibajaji hapo.
Halafu, milioni 360 kwa mwezi katika hesabu za kuendesha nchi ni hela ndogo sana.
Hatuwezi kuendelea kwa kubana matumizi na kutoza kodi viongozi (ambao ni wachache sana ukiwalinganisha na mamilini ya wananchi) kama uzalishaji haujaongezeka.
Nchi inaendelea kwa mamilioni ya watu kuongeza uzalishaji na kulipa kodi.
Ingawa kubana matumizi mabaya ya viongozi ni kitu muhinu, nchi haiendelei kwa kubana matumizi ya viongozi bila mkakati wa kuongeza uzalishaji kwa mamilioni ya wananchi.
HOJA Si wangapi,wabunge wapo wangapi?
Ukichukua idadi yao ukazidisha na kiwango cha kodi utapata sh ngapi?
#Tatizo la kusomesha ngwini wengi linaharibu Taifa tujikite kwenye sayansi kupitia mkopo wa Samia
Kabisa kabisa. Kinachouma, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kujiona miungu mitu huku wakiishi kwa kodi tunazolipa!Salaam, Shalom!!
Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili.
Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekkuwa tukizipigia kelele Kila kukicha,
Kwa kuwa kiongozi wetu amedhamiria kuongeza Tax base Ili wengi zaidi wapate hamasa ya kulipa Kodi, ninamshauri yafuatayo:
1. Kiongozi wetu Mh Rais SSH aelekeze hazina Ili mshahara wake utajwe hadharani na ukatwe Kodi na posho zote zikatwe Kodi.
2. Wabunge mishahara Yao ukatwe Kodi na posho zao zikatwe Kodi.
Si vyema watunga Sheria na sera za Kodi nchini wasamehewe kulipa Kodi ilhali viongozi wa juu Wachache hawalipi Kodi, hii Si HAKI.
Yakifanyika hayo, wote tutakuwa sawa mbele ya Sheria na tulipe Kodi na wote tuhisi uchungu wa kulipa Kodi Ili pia tuzisimamie vizuri.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
Karibuni ๐
Kila kitu anapata Bure!!Kabisa kabisa. Kinachouma, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kujiona miungu mitu huku wakiishi kwa kodi tunazolipa!
Kodi ni numbers my friendHOJA Si wangapi,
HOJA hapa ni
1. Wanalipa au hawalipi?
2. Na wanalipwa Bei Gani hao Wachache mishahara na marupurupu?
3. Na ikiwa hawalipi, wanawasaidia ndugu na jamaa zao kukwepa Kodi wangapi?
Karibu ๐
Mimi mlipa Kodi halali sipendi vya Bure kama wabunge!!Mkuu agiza chakula nitalipa.
Si namba pekee,Kodi ni numbers my friend
Hapo kwa Rais tunaweza kuacha, kuna mawaziri, wabunge, majaji etc hawa walipe kodi kwa mafao wanayapata. Haileti maana mtu wa kawaida hata ukilipwa laki tatu unapaswa kulipwa kodi huku watajwa hapo juu wakibeba mafurushi ya fedha bila kulipa hata mia.Salaam, Shalom!!
Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili.
Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekkuwa tukizipigia kelele Kila kukicha,
Kwa kuwa kiongozi wetu amedhamiria kuongeza Tax base Ili wengi zaidi wapate hamasa ya kulipa Kodi, ninamshauri yafuatayo:
1. Kiongozi wetu Mh Rais SSH aelekeze hazina Ili mshahara wake utajwe hadharani na ukatwe Kodi na posho zote zikatwe Kodi.
2. Wabunge mishahara Yao ukatwe Kodi na posho zao zikatwe Kodi.
Si vyema watunga Sheria na sera za Kodi nchini wasamehewe kulipa Kodi ilhali viongozi wa juu Wachache hawalipi Kodi, hii Si HAKI.
Yakifanyika hayo, wote tutakuwa sawa mbele ya Sheria na tulipe Kodi na wote tuhisi uchungu wa kulipa Kodi Ili pia tuzisimamie vizuri.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
Karibuni ๐
Wabunge wana fedha za mfuko wa jimbo, wazitumie ipasavyo kuleta maendeleo katika maeneo yao ya ubunge.Hii ni poverty mentality. Si kazi ya mbunge kututua changamoto za kifedha za wananchi. Mbunge anaweza kuhamasisha na kuchangia fedha katika miradi jimboni kwake. Jamii ielimishwe kuwa si kazi ya mbunge kugawa hela
Mbona Masekretari na Madereva wao pamoja na Watumishi wengine wa Bunge wanakatwa kodi kwenye mishahara yao???Hili la wabunge walipe kodi nasema hapana, hawa wanazo familia mbili mbili za kutunza, yaani Dodoma na jimboni kwake na mwisho hawatakiwa kuwa na mawazo ya siku ya mshahara ili waweze kututumikia vizuri.
Sasa hapa mada inataja wabunge kama ndio ushauri.Si namba pekee,
Ni muhimu iwe inclusive, isibague baadhi walipe wengine wale laini!!