Sijasema milioni 360 ni hela ndogo. Comprehemsion please.
Nimesema milioni 360 ni hela ndogo katika hesabu za kuendesha nchi.
Ukiwa fixated kwenye kuwabana wabunge walipe kodi na viongozi wasitumie vibaya fedha bila ya kuwa na mpango mzuri wa kuongeza ufanisi katika uchumi mkubwa, hizo fedha utakazoziokoa kwa viongozi zitapotea tena tu, kwa sababu huna mpango wa kuongeza ufanisi na uzalishaji in the larger econony.
Kuna nchi zina viongozi wana matumizi mabaya sana ya pesa, wengine wamehalalisha hilo kama.sehemu ya usalama, lakini chumi zao haziyumbi, kwa nini? Kwa sababu uzalishaji ni mkubwa, unafunika hayo matumizi mabaya. Mlipa kodi mmoja au wachache tu kodi zao zinalipia gharama za Ikulu na bunge lote.
Sasa katika dunia hiyo, ukiwa fixated kwenye kubana matumizi ya viongozi, which is a right thing to do, but not the primary problem, naweza kuelewa kuwa it is the human thing to do, unataka fairness, but it is not the primary economic thing to do.
Economy is about priorities, the problemmof choice, how to allocate resources, what to start, what to do second, etc,.
Hizo hela unazoziokoa unatakiwa kuwa na mpango mzuri wa kuzitumia, ama sivyo utaziokoa zisipotezwe na mbunge zikaenda kupotezwa na mkuu wa wilaya.