Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

Diaspora kusaidia huleta kuona fursa, wanapoona fursa huja kuwekeza...inanoga zaidi ninapokuja kuwekeza kama raia mzawa
 

Ni aibu kubwa kwa tanzania kubaki kwenye list ya nchi masikini wa kupwa ambazo hazijaruhusu uraia pacha, ilhali Tanzania ni nchi tajiri. hapo Tanzania anatakiwa atoke na aungane na wenzie walioruhusu uraia pacha.
 

You are very smart mkuu, watu kama wewe ni rahisi sana kufanikiwa maisha kutokana na imani na huruma uliyonayo, na kupenda mafanikio ya wengine, Wachache sana kama wewe. God bless you!
 

Acha hivyo ndugu yangu, ebu tuwe kitu kimoja kuunga mkono hii kitu, ina manufaa makubwa sana kwetu. Nchi 44 kama sio 46 za afrika zimeruhusu uraia pacha, sasa kwanini na sisi tusifanye hivyo!!! Ni hayo tu mkuu ikigijo
 
Maskini mwenyewe, ukome kuita Tanzania ni maskini, endelea kutawaza wazee huko uliko kwa matajiri, huna akili kabisa

Nitake radhi mkuu, hujanielewa labda.. "Ni aibu kubwa kwa tanzania kubaki kwenye list ya nchi masikini wa kupwa ambazo hazijaruhusu uraia pacha, ilhali Tanzania ni nchi tajiri. Ni hivyo mkuu Mwalimu"
 
Acha hivyo ndugu yangu, ebu tuwe kitu kimoja kuunga mkono hii kitu, ina manufaa makubwa sana kwetu. Nchi 44 kama sio 46 za afrika zimeruhusu uraia pacha, sasa kwanini na sisi tusifanye hivyo!!! Ni hayo tu mkuu ikigijo
Don't follow majority.......... fata akili yako, Tanzania tunafata akili zetu
 
Tunawaonea wivu nyinyi diaspora ?

Sasa kwa nini tuhangaike kubadilisha sheria kuwasapoti watu ambao wanatukashfu tuliopo hapa nchini wakisema wao wako njema mpaka tunawaonea wivu ?

Hoja nyepesi za wana diaspora ndio hizi maskini ya Mungu.

Hoja ili ionekana ni yenye Manufaa lazima ilindwe na Hoja, lazima ilijibu changamoto Kaza wa kaza, lazima iangaliwe kwa mitazamo yote miwili i mean Hasi na Chanya na ulinganifu uwepo ili kufanya maamuzi , Sasa hili swala Uraia pacha Diaspora members wanataka tu huo urai uwepo bila hata kuleta Fact zikafanyiwa screening ! Mushaona wapi hii.

Tatizo mtu akishaenda tu inje anawaona alowaacha huko nyumbani ni Ngumbaru kuliko Maelezo ! None sense
 
Wa adopt system ya India

The Constitution of India does not allow holding Indian citizenship and citizenship of a foreign country simultaneously. Based on the recommendation of the High Level committee on Indian Diaspora, the Government of India decided to grant Overseas Citizenship of India (OCI) commonly known as 'dual citizenship
 

Point✔
 
Hapo umenichanganya. Dual cizitenship na uraia pacha si kitu kilekile? So how come India does not allow holding Indian citizenship and citizenship of a foreign country, but allows dual citizenship at the same time? So what is dual citizenship to India?
 

Kweli kabisa...na ndio maana nchi zao zinaendelea. Lau na sisi watanzania tungekua kitu kimoja tukashirikiana kwenye mambo aise tungefika mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…