Capital
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,468
- 1,063
Hizi ndezi zingine sijui zinaishi pori gani? Jipe moto tu lakini CDM ni dude kubwa, usivyodhani. Tuwepo na tuoneAcha dharau Mkuu, chadomo ya Lissu haina hadhi ya kukaa meza moja na CCM. CCM itakuwa imejoshusha sana.