Capital JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 1,468 Reaction score 1,063 Mar 6, 2025 #21 Zakayomfupi said: Acha dharau Mkuu, chadomo ya Lissu haina hadhi ya kukaa meza moja na CCM. CCM itakuwa imejoshusha sana. Click to expand... Hizi ndezi zingine sijui zinaishi pori gani? Jipe moto tu lakini CDM ni dude kubwa, usivyodhani. Tuwepo na tuone
Zakayomfupi said: Acha dharau Mkuu, chadomo ya Lissu haina hadhi ya kukaa meza moja na CCM. CCM itakuwa imejoshusha sana. Click to expand... Hizi ndezi zingine sijui zinaishi pori gani? Jipe moto tu lakini CDM ni dude kubwa, usivyodhani. Tuwepo na tuone
Z Zakayomfupi JF-Expert Member Joined Mar 11, 2024 Posts 281 Reaction score 320 Mar 6, 2025 #22 Capital said: Hizi ndezi zingine sijui zinaishi pori gani? Jipe moto tu lakini CDM ni dude kubwa, usivyodhani. Tuwepo na tuone Click to expand... Dude kubwa akili za nyumbu, limegeuka omba omba kama matonya.
Capital said: Hizi ndezi zingine sijui zinaishi pori gani? Jipe moto tu lakini CDM ni dude kubwa, usivyodhani. Tuwepo na tuone Click to expand... Dude kubwa akili za nyumbu, limegeuka omba omba kama matonya.