Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Japo sikubariani na upande ambao Diamond kasimamia....
Ila kwa level alofikia Diamond hakuna Media Bongo inayoweza kumshusha!
Tema mate chini mkuu hivi unamkumbuka Mr.Nice?
 
Sasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
Na JPM atulie asikilize wananchi
 
Acha ujinga wewe zezeta la ufipa
 
ile nyimbo imebuma tayari alaf tatzo.mondi kaishia form two hata living sertificate hana bora mm nna D5 ndy maana anamtetea mburura mwenzie.kwanz mondi wa mwaka jana syo huyu soon ata kwambia npo buzy na biashara kumbe game ngumu
 
Vyombo vya habari vinaweza kukupaisha na kukushusha ukapotea
True.Hakuna kitu chenye nguvu kama media.Mleta uzi amemshambulia Diamond lakini hata wimbo wa Ney wa mitego(WAPO) nao una back up ya watu fulani ambao walimshawishi autunge.Ndiyo maana ningekuwa na uwezo ningepiga marufuku wasanii wote kutunga sanaa zenye chembe za Siasa.Kwa sasa wanasiasa wameamua kuwatumia wasanii kufikisha ujumbe.Kinachofanya serikali kuzuia dini kujiingiza kwenye siasa ndicho hicho kitumike kuwazuia wasanii.(Sababu wengi tunaifahamu)
 
Labda tu nikwambie we ulieandika upuuzi huu sahau kihusu hilo, kwanza kwenye nyimbo hajapromote mtu,ameongelea hali halisi iliopo,kwa ss kiufupi diamond kishushwa na vyombo ushuzi sahau,diamond na ruge,kusaga,majay ni bampa to bampa kwahyo sahau
 
Diamond aliposahv wakumshusha ni MUNGU tu hawawengine hamna mbna eatv earadio hawapigi na akawambia mnajipotezea mda Diamond sio mziki tena ni jina ndo linauza kwahyo tulia muvi liendelee
Kijana naona haijui vizuri Clouds awaulize hawa hapa

Rama dee

Mapacha

Sugu(na Antivirus yake)

Ruby

Ibra

Fid Q

MwanaFA

Lady jaydee

N.k
 
Huyu kijana anadharau sana. Kumsapoti ndiyo kuna mfanya ajione Mkubwa kuliko wananchi...clouds FM msituangushe
Hii ni nchi huru.kila mtu yuko huru kutoa maoni yake ilimradi asipitilize akavunja sheria.kaka sioni ni wapi diamond alipokosea.Dhahiri unaonekana uko na chuki.kumbuka diamond ni wa kimataifa clouds hawawez kumshusha tena.hategemei media so endelea kupayuka upupu wako ukimaliza kaangalie you tube views wangapi na wasafi.com kapiga mtonyo kiasi gani.Acha chuki bro
 
Living sertificate=Leaving certificate

Si mbaya bora kuishia la saba,form two ila maendeleo makubwa anayo. Wewe wa dv 5 maendeleo uliyonayo ni kumiliki smartphone tu,kula,kushit,kulala kwa wazazi,shemeji,ndugu,jamaa na marafiki
ile nyimbo imebuma tayari alaf tatzo.mondi kaishia form two hata living sertificate hana bora mm nna D5 ndy maana anamtetea mburura mwenzie.kwanz mondi wa mwaka jana syo huyu soon ata kwambia npo buzy na biashara kumbe game ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…