Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni fake
Mhh Ya kwel hayo[emoji33] [emoji33]
bas niwe nakuja PM tubishane vzuri eeh
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]I don't care
Tema mate chini mkuu hivi unamkumbuka Mr.Nice?Japo sikubariani na upande ambao Diamond kasimamia....
Ila kwa level alofikia Diamond hakuna Media Bongo inayoweza kumshusha!
OohkayHabari ndio hio
Na JPM atulie asikilize wananchiSasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
Acha ujinga wewe zezeta la ufipaHuyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.
Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.
Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.
Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.
Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.
Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Ufipa ndiyo wapi...matak..weweAcha ujinga wewe zezeta la ufipa
ile nyimbo imebuma tayari alaf tatzo.mondi kaishia form two hata living sertificate hana bora mm nna D5 ndy maana anamtetea mburura mwenzie.kwanz mondi wa mwaka jana syo huyu soon ata kwambia npo buzy na biashara kumbe game ngumuDemokrasia ni nini kama wewe hapo unashauri udikteta. Watu wengine bana akili zenu sijui huwa mnamuazima nani. Kisa dai hayupo upande wenu kelele mtindo mmoja. Akija upande wenu mnamsafisha na vyeo mnampachika acheni hizo.
Team dai sio wanafiki kama wewe. Eti mlimsapoti pheeeewwwwiiii jitoe tuone kama atashuka kwa kijithread chako hichi
True.Hakuna kitu chenye nguvu kama media.Mleta uzi amemshambulia Diamond lakini hata wimbo wa Ney wa mitego(WAPO) nao una back up ya watu fulani ambao walimshawishi autunge.Ndiyo maana ningekuwa na uwezo ningepiga marufuku wasanii wote kutunga sanaa zenye chembe za Siasa.Kwa sasa wanasiasa wameamua kuwatumia wasanii kufikisha ujumbe.Kinachofanya serikali kuzuia dini kujiingiza kwenye siasa ndicho hicho kitumike kuwazuia wasanii.(Sababu wengi tunaifahamu)Vyombo vya habari vinaweza kukupaisha na kukushusha ukapotea
Mimi no shabiki wa mziki wake lakini kwa hili simuungi mkono Diamond kaniangusha sanaYeye binafsi hana vyeti hivyo hata umuhimu wake hawezi kuufahamu.
Kijana naona haijui vizuri Clouds awaulize hawa hapa
Rama dee
Mapacha
Sugu(na Antivirus yake)
Ruby
Ibra
Fid Q
MwanaFA
Lady jaydee
N.k
Hii ni nchi huru.kila mtu yuko huru kutoa maoni yake ilimradi asipitilize akavunja sheria.kaka sioni ni wapi diamond alipokosea.Dhahiri unaonekana uko na chuki.kumbuka diamond ni wa kimataifa clouds hawawez kumshusha tena.hategemei media so endelea kupayuka upupu wako ukimaliza kaangalie you tube views wangapi na wasafi.com kapiga mtonyo kiasi gani.Acha chuki broHuyu kijana anadharau sana. Kumsapoti ndiyo kuna mfanya ajione Mkubwa kuliko wananchi...clouds FM msituangushe
Hajajua Social media ndo kila kitu ee ngoja wakaee anamfuatiliza BASHITE unapotea kijanaVyombo vya habari vinaweza kukupaisha na kukushusha ukapotea
ile nyimbo imebuma tayari alaf tatzo.mondi kaishia form two hata living sertificate hana bora mm nna D5 ndy maana anamtetea mburura mwenzie.kwanz mondi wa mwaka jana syo huyu soon ata kwambia npo buzy na biashara kumbe game ngumu