Zile karanga alikuwa BALOZI tu mwenye kiwanda ndio mmiliki mwenza wa hapo redioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile karanga alikuwa BALOZI tu mwenye kiwanda ndio mmiliki mwenza wa hapo redioni.
Ohh aisee, vipi kiwanda chake cha perfume?Zile karanga alikuwa BALOZI tu mwenye kiwanda ndio mmiliki mwenza wa hapo redioni.
Hicho hata sijui kipo nchi gani.
Aunt Ezekiel na uwoya wamesema wenyewe walivyoulizwa wakiwa wanahojiwa na Aaliyah wa Wasafi media kwenye miaka 10 ya diamond kitu gani unaweza kuongea kwenye 10 za platnumz wakajibu ni sapoti wanayoipata kutoka kwa mondi ndo wakatolea mfano nilichosema.Una uhakika zile party zinarushwa bure? Una uhakika katika hizo party unazozionaga hakuna matangazo yanayopita au party kukwata kwa 'commercial break'..??
Unahisi party inatokea tu jioni na kurushwa hewan muda huo huo.??
Kwann mnachangiaga mada ambazo hata A, B, C na mada husika hamjui.???
INAKERA MNO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ulofa na kuwalisha wenzako matango pori weweee.Mwenye controlling interest (hisa nyingi zaidi) ndo mwenye usemi wa mwisho! Kwahiyo Johayna Kusaga ana uwezo wa kufanya maamuzi ambayo Diamond hawezi kukataa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna party inarushwa BureSio kweli mbona Kama ni hivyo mbona anarusha live WASAFI TV hata party za marafiki zake bila hata hela mfano party ya aunt Ezekiel, Irene uwoya ukiachana na hivyo hata matangazo ya sponsor aliyoingia nao mkataba Kama voda n.k kwenye Tv yake hii inaonesha namna alivyo na mamlaka makubwa kuliko hata huyo mwanamke
Okay, let me tell u a dark side ya any artist and this goes 80% ya artist wote unaowajua wewe duniani.Aunt Ezekiel na uwoya wamesema wenyewe walivyoulizwa wakiwa wanahojiwa na Aaliyah wa Wasafi media kwenye miaka 10 ya diamond kitu gani unaweza kuongea kwenye 10 za platnumz wakajibu ni sapoti wanayoipata kutoka kwa mondi ndo wakatolea mfano nilichosema.
Sasa kama unataka waachane that means hakuna biashara yoyote ya kampuni duniani ingesimama. Mbona Samsung, CocaCola, Volkswagen,etc zote zinamilikiwa na watu kibao wenye hisa kiwango tofauti. Kwanza sheria ya kampuni kwa Tanzania sijui lakini najua nchi nyingi haziruhusu mtu mmoja kumiliki exactly 100% ya business entity. Una hofu ya bureMwenye controlling interest (hisa nyingi zaidi) ndo mwenye usemi wa mwisho! Kwahiyo Johayna Kusaga ana uwezo wa kufanya maamuzi ambayo Diamond hawezi kukataa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alivyoanza kumdampu muongoza njiaKuwa Mjanja mdogo wangu,
Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump
Kuwa makini Diamond
Anamsaliti vipi wakati naye ana hisa. Wote si wanapata faida kwahiyo unataka Simba auze hisa zake
Kwakuwa wewe hapo ulipo hujawahi hata kumiliki vitz basi unajiona upo sahihi,hata kama unajipongeza kwa kufeli,lakini mwenzio ameshaziishi ndoto zako na ukoo wako.45% sio matako kila MTU anayo
Yani Tz tunaviwanda elf 4! Au zile people pale kimboka nazo zinaesabiwa ni viwanda? Anyway acha kijana apige kazi alipotoka na halipo anastahili pongeziKati ya Diamond na huyo MZEE nani anamuhitaji mwenzake? Diamond nae ana hisa kubwa sana kwa hiyo ni mmoja wa WAAMUZI wa mustakali wa hivyo vituo., sasa inatakiwa umshauri Diamond afungue kiwanda tena kinacho onekana sio hivyi vinavyosomwa tu kwenye makaratasi, viko elfu 4 sasa lakini ni kama havipo.