Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
WhereHow did you get there.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WhereHow did you get there.?
Nimeishia kusoma.hapa kama ulikuwepo kichwani kwangu.Wabongo bhana yaaani ujuaji ujuaji na ujanja janja mwiiiiingi
yaani kila kitu mnajua nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Brand name (wasafi) ni ya nani?Kama ni hivyo why diamond awe na asilimia ndogo sana kuliko kina kusaga? Why asingekuwa na asilimia za juu ya hisa zake. Anasimama kama mdoli tu na sio mmiliki.
Ndio serikali inasema vipo elfu 4, maendeleo ambayo hayahawahi kutokea ulimwenguni, ni ndani ya miaka 4 tu kila mwaka viwanda elfu moja.Yani Tz tunaviwanda elf 4! Au zile people pale kimboka nazo zinaesabiwa ni viwanda? Anyway acha kijana apige kazi alipotoka na halipo anastahili pongezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida yeyote inayopatikana Diamond anapata sehemu yake , sasa kuna ubaya gani kushirikiana na mtu kwenye biasharaMwenye controlling interest (hisa nyingi zaidi) ndo mwenye usemi wa mwisho! Kwahiyo Johayna Kusaga ana uwezo wa kufanya maamuzi ambayo Diamond hawezi kukataa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hisa zake sio ndogo kama inapatikana profit anakuwa pazuri , dunia ya sasa kufanya kila kitu mwenyewe ni kazi nzito
Kwani Diamond hapati faida kutokana na kituo hicho ?Kuwa Mjanja mdogo wangu,
Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump
Kuwa makini Diamond
Una uhakika zile party zinarushwa bure? Una uhakika katika hizo party unazozionaga hakuna matangazo yanayopita au party kukwata kwa 'commercial break'..??
Unahisi party inatokea tu jioni na kurushwa hewan muda huo huo.??
Kwann mnachangiaga mada ambazo hata A, B, C na mada husika hamjui.???
INAKERA MNO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tell e`m..huwa nawashangaa watu ...huwa wanatoa wapi guts za kuwaamini wasanii !!!Okay, let me tell u a dark side ya any artist and this goes 80% ya artist wote unaowajua wewe duniani.
Artist wengi ni waongo, husiamini 70% ya artist au star anachoongea kwenye media i.e Tv, Radio stations au magazeti...they live in total lie life.
Show kama hizo zinapangwa, zinaandikwa proposal na zinaenda katika makampuni husika...let say tiGo su voda. Hayo makampuni yanajua nguvu ya hao wasanii wenye hizo party, wanajua ni traffic kiasi gani itakuwepo siku iyo and that is point ya kutangaza products zao.
No free meal kiongozi...it is win win situation.
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae unazingua...speed yako ya kugonga like imepungua,,,unazidiwa mpaka na mkwepu jr bana??
Mboo na pumbu tuWewe mzee baba unamiliki kitu gani kikubwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Founder wa company na mwenye hisa kubwa Nani mwenye maamuzi?Ukishamiliki 51% ya hisa kweny limited company wewe ndiye una maamuzi ya mwisho.
Aiseee, HAPANA ila i stand to be corrected kwa namna yoyote ile.Ukishamiliki 51% ya hisa kweny limited company wewe ndiye una maamuzi ya mwisho.
. Aiseee, HAPANA ila i stand to be corrected kwa namna yoyote ile.
Ni hivi...kampuni yoyote itakua na hisa 100% by default, once a person acquires let say 40% of that shares na zikabaki 60% na hizo zilizobaki watu wakagawana hizo hisa na hakuna mtu atakayefikia hisa hizo 40% basi huyu mwenye 40% ndo atakua 'majority share holder' ikiwa na maana yeye ndo mwenye hisa nyingi na atakua na maamuzi ya mwisho.
Si lazima iwe 51% ya hisa zote ndo awe na maamuzi ya mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika zile party zinarushwa bure? Una uhakika katika hizo party unazozionaga hakuna matangazo yanayopita au party kukwata kwa 'commercial break'..??
Unahisi party inatokea tu jioni na kurushwa hewan muda huo huo.??
Kwann mnachangiaga mada ambazo hata A, B, C na mada husika hamjui.???
INAKERA MNO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana ukisoma mchango wangu nimeenda kwenye lower % ya hisa ya kwenye kampuni, 51% ya hisa ni inshu sana tena sana...hii hasa hasa hutokea kwenye kampuni ambazo kiasilia ni family companies.Na watu wanasahau kwamba kwa mgawanyo wa 51% kwa 49% yule mwenye 51% hawezi kujiita 'majority' hivivyo kwenye maamuzi. Inabidi maamuzi yawe kwa 'compromise'. La sivyo, mwenye 51% 'akigombana' na huyu wa 49% kampuni inakufa!!! Kwa hiyo ni 'win win' hakuna cha kusema nani mbabe kwenye maamuzi.
Ila sasa kama kampuni ina shareholders WENGI, kama 25%, 20%, 10%, 5%, 5%, 5% nk, nk, hapa ndio kuna suala la 'majority decision' sababu maamuzi hayawezi kusababisha kampuni kufa!!!
Sio chuki bhana nawesa sema. Tatizo la Wa'tz wengi hawana 'info' ya inshu husika. Wanaendeshwa na mihemko na hisia.
Sio chuki bhana nawesa sema. Tatizo la Wa'tz wengi hawana 'info' ya inshu husika. Wanaendeshwa na mihemko na hisia.
Nikupe mfano tu kidogo na rahisi;
Wabongo wengi hawajui tofauti ya Diamond na Wasafi Crew, pia inaenda mbali sana tena sana.
Hawajui tofauti ya Wasafi media (Tv & Radio) na Wasafi Studio.
Kuna Wasafi Festival...elimu hii ni pana na Wabongo wengi hawana muda wa kusikia na eiza kujua kwa kina.
Melvine