Pre GE2025 Ushauri kwa Kassimu Majaliwa: Mjomba kesho yako imevurugwa kwa Makusudi, fuata nyazo za Dkt. Mpango Philip

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona Mwinyi kule Zenji anaenda 15
Dah! nilikuwa nimesahau hivi hao CCM mbona wamelala yaani wanakiuka katiba hivi hivi? watakutana mapingamizi ya kisheria mpaka wakome
 
Katika stadi za mawasiliano, alifanya vizuri sana, alijua ukweli, lakini
Kiongozi hatakiwi kuwa muongo kwa Taifa analoliongoza! Majaliwa aliliongopea Taifa kuhusu kifo cha Magu ; that disqualifies him from any leadership position.
Hakuwa na mmlaka ya kutoa Tangazo la kifo, msiba wa Kitaifa , mwenye mamlaka balikuwa makamu wa Rais AMBAYE nkikatiba ndiye Rais.

Msiba wa Kitaifa Rais kufia madarakani sio jambo dogo, maandalizi yanatakiwa,ilitaka aingilie kazi ambayo siyo yake??
 
.mchukueni akawe Rais wenu wasukuma
 
Alipoteuliwa Naibu tu nikajua Mwamba Katele.. kwenye daura lenye obit yake yenye ni kama kanyota kalikojishikiza kwa uso wa pembezoni.
 
Angekaa kimya kama kazi haikuwa yake! Kujitokeza na kusema mtu yuko anafanya kazi ili hali alishakuwa maiti halikuwa Jambo la kiungwana .
From that point on , he was no longer credible.
 
Angekaa kimya kama kazi haikuwa yake! Kujitokeza na kusema mtu yuko anafanya kazi ili hali alishakuwa maiti halikuwa Jambo la kiungwana .
 
eti sio mdini dah 🀣
 
Angekaa kimya kama kazi haikuwa yake! Kujitokeza na kusema mtu yuko anafanya kazi ili hali alishakuwa maiti halikuwa Jambo la kiungwana .
From that point on , he was no longer credible.
Bado hujaelewa, hutaelewa na hutaki kuelewa πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hata hivyo vipindi 2 alivyokaa katika u-PM vinatosha! Asubiri muda wake ufike akaungane na akina Kayanza walioridhika na kukubali hali.
Isitoshe Mafao atakayopata na pension ya mwezi na mkewe yanamtosha.
 
Hata ningekuwa Mimi sipumziki yani majaliwa na nguvu zote zile nipumzike Bora nikose kura ila nagombea nakuwa mbunge wa kawaida mbona Sitta alitoka akawa mbunge
Mbona mizengo ka mind kukosa umakamu chair
Mbona Wasira kapokea kwa vifijo na nderemo
Kupumzika sitaki nakomaa lolote linaweza kutokea isha'lah
 
Kila zikizungumzwa habari kuhusu yaliyotokea Dodoma na watu kuzungumza habari ya udini kama ingetokea Samia kampendekeza Muislamu kuwa mgombea mwenza uwa nashangaa sana na kujiuliza mbona hoja hii haikuzungumzwa wakati wa Kikwete alipoamua kubaki na Dr Ali Mohamed Shein na Kipindi chake cha pili akampendekeza Mohamed Gharib Bilal?
Sasa safari hii ingejirudia tena tatizo lingetokea wapi?
 
kazi maalum, ikiisha atapumzika
 
Sasa yupo hapo kufanya nini?
Elewa Mkuu, nimesema Excutive power ni ya Rais,hivyo kuwachukulia hatua inategemea attitude ya Rais.

Wakati wa Jiwe Majaliwa na na jiwe wote walikuwa wanaogopeka wanapofanya ziara mikoani, mmoja anasimasha wakurugenzi mmoja anatumbua.

Toka Mama Abdul aingie, Majaliwa akifanya ziara akikuta UCHAFU anakemea tu, na wakurugenzi wanajua ni "MIKWALA YA ASHA NGEDERE "

mama aliruhusu watu wale kwa urefuvwa kamba!!

Angalia report mbili za CAG,!! ni za hovyo ufisadi, hajawahi tokea miaka hata ya Mkapa , Jiwe na JK!!

Katika hayo mafisadi wameishia kutukannwa STUPID!!

Mazingira context kama hiyo Majaliwa afanye Nini ulitegemea??

"Don't over smart your bossy,even the Boss is stupid"

πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Angekuwa anawapenda watanzania angekataa huo ushetani akajihuzulu, yeye ni sehemu ya ufisadi, kwanini asisimamishe hao wakurungezi?
 
Angekuwa anawapenda watanzania angekataa huo ushetani akajihuzulu, yeye ni sehemu ya ufisadi, kwanini asisimamishe hao wakurungezi?
Ukiwa katika Inner cycle, patakuwa na mstari Mwembamba unaotenganisha uadilifu wake na matendo ya jumla ya inner circle members.

Ndo Maana akina Dr Philip Mpango, na Pinda, na Anne Makinda wapo pembeni,hawataki kuwa sehemu ya Makandokando.

Mwisho Mwishoni usifikiri kujiuzuru kwa Waziri Mkuu ni saw na "KUSUKUMA KETE KWENYE MCHEZO WA DRAFT"

kujiuzuru kwake ni kuundwa Tena kwa serikali baraza zima la mawaziri, nchi inatikisika,πŸ€”πŸ€”

For very concrete reason, waziri mkuu anajiuzuru, Tena siyo kwa kuandika tu barua, kwa mashauriano na mkuu wa nchi, na vyombo vya usalama!!
 
Ujinga tu tunakaririshwa kama anaweza kujihuzulu Waziri Mkuu wa Uingereza sembuse huyu wa nchi hata haipo kwenye ramani anashindwa nini kama ni mwadilifu? huyu ni sehemu ya tatizo namfahamu vizuri tangu 2016 na nimewahi kufika kwake kupitia mdogo wake na mkewe hata ndugu zake aliowapachika serikalini wengi nawafahamu vizuri sn.
 
Wewe kama unaishi TZ unajua utamaduni wa kujiuzuru sio rahisi, aliweza Mwanaume Lowasa na Mzee ruksa, wastarehe kwa amani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…