Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Dah! nilikuwa nimesahau hivi hao CCM mbona wamelala yaani wanakiuka katiba hivi hivi? watakutana mapingamizi ya kisheria mpaka wakomeMbona Mwinyi kule Zenji anaenda 15
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! nilikuwa nimesahau hivi hao CCM mbona wamelala yaani wanakiuka katiba hivi hivi? watakutana mapingamizi ya kisheria mpaka wakomeMbona Mwinyi kule Zenji anaenda 15
Hakuwa na mmlaka ya kutoa Tangazo la kifo, msiba wa Kitaifa , mwenye mamlaka balikuwa makamu wa Rais AMBAYE nkikatiba ndiye Rais.Kiongozi hatakiwi kuwa muongo kwa Taifa analoliongoza! Majaliwa aliliongopea Taifa kuhusu kifo cha Magu ; that disqualifies him from any leadership position.
.mchukueni akawe Rais wenu wasukumaHeshima kwenu,
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"
Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya msitu wa rangi ya uhai kijani.
Jaribio la Mama kujipitisha kwa mfumo wa "hati ya dharula "certificate of emergency/urgency" ambayo iliacha watu midomo wazi na kusabisha wengi kukosa usingizi usiku wa siku ile ya mkutano.
Kadiri ya upepo ulivyo, mimi naiona nafasi yako ni ndogo sana kuendelea vema kwenye siasa za Tanzania baada ya uchaguzi mkuu huu 2025.
Dr Emanuel Nchimbi mgombea mwenza tarajali wa Samia ni team Lowasa/ambayo ni team Rostam Aziz , A.K.A "King 👑 Maker "
Rostam ,is not in favor of you ku hold nafasi kubwa Tena ndani ya Serikali, na hata Mama pasi na shaka ana mtizamo tofauti kabisa juu yako.
Nafasi Yako ilikuwa ,na ulistahili pasi na shaka wewe ndio uwe mgombea Mwenza wa Samia, lakini mambo yamekuwa tofauti na ulivyotarajia/walivyotarajia wajuvi pamoja na mimi binafsi kama self political analyst.
Chemistry imekaa vibaya., kwa hili nisitafsiriwe mimi ni mdini, la hasha!!
Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi Muslim, Samia Bara Toka Zanzibar Muslim, na wewe Toka Bara Muslim??
Naiona nafasi ndogo ya kuwa PM baada ya Uchaguzi mkuu ujao.
Uwaziri mkuu wa 2025 October utakuwa na misingi ya dini ,na kanda, hasa kanda ya Ziwa.
Kwanini kanda ya ziwa , watasema tuleteeni "PACHA" tuna mpango naye ili zipatikane kura za kanda ya ziwa za kutosha za CCM.
Nia Yako ya kugombea tena ubunge Ruangwa ni njema sana, kwa kazi kubwa nzuri uliyofanya kwa watu wa Ruangwa miundombinu ya Afya, Elimu na kikubwa zaidi ni barabara ya lami Nanganga, Ruangwa to Nachingwea, kwakweli tunakushukuru.
Pamoja na hayo yote, naona sio vizuri wewe kurudi bungeni ukawe mbunge wa kawaida kutoka uwaziri mkuu, hiyo haijakaa vizuri mbele ya Jamii, vikubwa kwa wale ambao walikuwa chini Yako ulipokuwa PM ambao kwa maagizo Yako na maelekezo yako ya kiutawala wengine walionankama wanachapwa bakora, Kwenzi au "Njingo" nkokota.
Natamani sana kuona haugombei Tena ubunge Ruangwa, sio kwamba sipendi haugombei la hasha!! unless una ahadi isiyo na shaka na Mama ya kukurudisha umalizie U PM kwa miaka mitano ijayo ili mumalize safari pamoja.
Nasema hivyo kwa vile chemistry ili ikae sawasawa ni muhimu PM awe Mkristu, VC Mkristu , Rais Zanzibar Mwislamu na Rais Bara ni Mwislamu.
Ingawa pia niweke "benefit of doubt " bonafide ,kwamba hiyo sio kanuni inaweza isifuate hivyo ila tu ni tahadhari ambayo naiona kwa jicho pekenyevu na fikra tunduizi.
Mwisho Mwishoni natamani kwa kweli kwa ajili ya heshima yako uliyojijengea mbele ya jamii, ni vema ukatafakari ikikupendeza kufuata nyayo za Mzee wetu Daktari Philip Mpango.
Nakuangalia sana katika medani za Siasa kwa sasa ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.
Leo hii wewe unavokubalika kanda ya ziwa, ambayo watu wanaona sura ya Mwamba Jiwe ndani yako ilikuwa ni turufu tosha CCM kupata votes nyingi bila kumtumia "pacha"
Lakini bahati mbaya mfumo hauendi kadiri ya matakwa yetu.
Kugombea ubunge Ruangwa Leo ni sawasawa na kucheza kamari Gambling, unaweza kigombea na Mama akabadili gia angani akakuteu Tena uwe PM.
"To choose between two equal,is bad alternative in serious dillema.
Watu wa Ng'au ,Chimbila, Nanditi,Manokwe,Chiepo,Mandambe,Mandarawe,Ole, Nanguruwe,Namahema,Nnindu,Nkowe,Kipindimbi, Mitope na Likunja kuwataja wachache, wangetamani sana kuona heshima yetu inasimama mahali pake kutokana na upepo unaoendelea Chamani.
Mimi ni mdogo kiumri Sina mang'amuzibya kutosha,ila naona tu Mungu ameniongoza hivyo,Sina nafasi ya kukuona, Mwishoni mwa mwaka nilisafiri ili kupata angalalau nafasi tutete lakini protocol hazikuruhusu
Ndimi "Mjomba"
Nandagala one, Mpumalanga Afrika Kusini.
🙏🙏
🤔🤔🤔🤔🤔🚴🚴.mchukueni akawe Rais wenu wasukuma
Angekaa kimya kama kazi haikuwa yake! Kujitokeza na kusema mtu yuko anafanya kazi ili hali alishakuwa maiti halikuwa Jambo la kiungwana .Katika stadi za mawasiliano, alifanya vizuri sana, alijua ukweli, lakini
Hakuwa na mmlaka ya kutoa Tangazo la kifo, msiba wa Kitaifa , mwenye mamlaka balikuwa makamu wa Rais AMBAYE nkikatiba ndiye Rais.
Msiba wa Kitaifa Rais kufia madarakani sio jambo dogo, maandalizi yanatakiwa,ilitaka aingilie kazi ambayo siyo yake??

eti sio mdini dah 🤣Heshima kwenu,
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"
Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya msitu wa rangi ya uhai kijani.
Jaribio la Mama kujipitisha kwa mfumo wa "hati ya dharula "certificate of emergency/urgency" ambayo iliacha watu midomo wazi na kusabisha wengi kukosa usingizi usiku wa siku ile ya mkutano.
Kadiri ya upepo ulivyo, mimi naiona nafasi yako ni ndogo sana kuendelea vema kwenye siasa za Tanzania baada ya uchaguzi mkuu huu 2025.
Dr Emanuel Nchimbi mgombea mwenza tarajali wa Samia ni team Lowasa/ambayo ni team Rostam Aziz , A.K.A "King 👑 Maker "
Rostam ,is not in favor of you ku hold nafasi kubwa Tena ndani ya Serikali, na hata Mama pasi na shaka ana mtizamo tofauti kabisa juu yako.
Nafasi Yako ilikuwa ,na ulistahili pasi na shaka wewe ndio uwe mgombea Mwenza wa Samia, lakini mambo yamekuwa tofauti na ulivyotarajia/walivyotarajia wajuvi pamoja na mimi binafsi kama self political analyst.
Chemistry imekaa vibaya., kwa hili nisitafsiriwe mimi ni mdini, la hasha!!
Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi Muslim, Samia Bara Toka Zanzibar Muslim, na wewe Toka Bara Muslim??
Naiona nafasi ndogo ya kuwa PM baada ya Uchaguzi mkuu ujao.
Uwaziri mkuu wa 2025 October utakuwa na misingi ya dini ,na kanda, hasa kanda ya Ziwa.
Kwanini kanda ya ziwa , watasema tuleteeni "PACHA" tuna mpango naye ili zipatikane kura za kanda ya ziwa za kutosha za CCM.
Nia Yako ya kugombea tena ubunge Ruangwa ni njema sana, kwa kazi kubwa nzuri uliyofanya kwa watu wa Ruangwa miundombinu ya Afya, Elimu na kikubwa zaidi ni barabara ya lami Nanganga, Ruangwa to Nachingwea, kwakweli tunakushukuru.
Pamoja na hayo yote, naona sio vizuri wewe kurudi bungeni ukawe mbunge wa kawaida kutoka uwaziri mkuu, hiyo haijakaa vizuri mbele ya Jamii, vikubwa kwa wale ambao walikuwa chini Yako ulipokuwa PM ambao kwa maagizo Yako na maelekezo yako ya kiutawala wengine walionankama wanachapwa bakora, Kwenzi au "Njingo" nkokota.
Natamani sana kuona haugombei Tena ubunge Ruangwa, sio kwamba sipendi haugombei la hasha!! unless una ahadi isiyo na shaka na Mama ya kukurudisha umalizie U PM kwa miaka mitano ijayo ili mumalize safari pamoja.
Nasema hivyo kwa vile chemistry ili ikae sawasawa ni muhimu PM awe Mkristu, VC Mkristu , Rais Zanzibar Mwislamu na Rais Bara ni Mwislamu.
Ingawa pia niweke "benefit of doubt " bonafide ,kwamba hiyo sio kanuni inaweza isifuate hivyo ila tu ni tahadhari ambayo naiona kwa jicho pekenyevu na fikra tunduizi.
Mwisho Mwishoni natamani kwa kweli kwa ajili ya heshima yako uliyojijengea mbele ya jamii, ni vema ukatafakari ikikupendeza kufuata nyayo za Mzee wetu Daktari Philip Mpango.
Nakuangalia sana katika medani za Siasa kwa sasa ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.
Leo hii wewe unavokubalika kanda ya ziwa, ambayo watu wanaona sura ya Mwamba Jiwe ndani yako ilikuwa ni turufu tosha CCM kupata votes nyingi bila kumtumia "pacha"
Lakini bahati mbaya mfumo hauendi kadiri ya matakwa yetu.
Kugombea ubunge Ruangwa Leo ni sawasawa na kucheza kamari Gambling, unaweza kigombea na Mama akabadili gia angani akakuteu Tena uwe PM.
"To choose between two equal,is bad alternative in serious dillema.
Watu wa Ng'au ,Chimbila, Nanditi,Manokwe,Chiepo,Mandambe,Mandarawe,Ole, Nanguruwe,Namahema,Nnindu,Nkowe,Kipindimbi, Mitope na Likunja kuwataja wachache, wangetamani sana kuona heshima yetu inasimama mahali pake kutokana na upepo unaoendelea Chamani.
Mimi ni mdogo kiumri Sina mang'amuzibya kutosha,ila naona tu Mungu ameniongoza hivyo,Sina nafasi ya kukuona, Mwishoni mwa mwaka nilisafiri ili kupata angalalau nafasi tutete lakini protocol hazikuruhusu
Ndimi "Mjomba"
Nandagala one, Mpumalanga Afrika Kusini.
🙏🙏
Bado hujaelewa, hutaelewa na hutaki kuelewa 🤔🤔🤔Angekaa kimya kama kazi haikuwa yake! Kujitokeza na kusema mtu yuko anafanya kazi ili hali alishakuwa maiti halikuwa Jambo la kiungwana .
From that point on , he was no longer credible.
Sasa yupo hapo kufanya nini?Excutive power kuadabisha wezi ipo mikononi mwa nani???
PM au Rais??
Don't over smart your boss!! anatembea kwenye msingi huo
kazi maalum, ikiisha atapumzikaShikamoo ni tamu sana ndugu. Wanasiasa wengi hasa huku kwetu Afrika wanapenda sana Shikamoo. We si umeona Wassira kufurahia kurudi kwenye shikamoo pamoja na umri mkubwa alionao! Mwenzake wa miaka 76 ameomba kustaafu yeye wa miaka 80 amerudi kazini kiroho sasfi kabisa.
Can you imagine this kind of situation?
Elewa Mkuu, nimesema Excutive power ni ya Rais,hivyo kuwachukulia hatua inategemea attitude ya Rais.Sasa yupo hapo kufanya nini?
Angekuwa anawapenda watanzania angekataa huo ushetani akajihuzulu, yeye ni sehemu ya ufisadi, kwanini asisimamishe hao wakurungezi?Elewa Mkuu, nimesema Excutive power ni ya Rais,hivyo kuwachukulia hatua inategemea attitude ya Rais.
Wakati wa Jiwe Majaliwa na na jiwe wote walikuwa wanaogopeka wanapofanya ziara mikoani, mmoja anasimasha wakurugenzi mmoja anatumbua.
Toka Mama Abdul aingie, Majaliwa akifanya ziara akikuta UCHAFU anakemea tu, na wakurugenzi wanajua ni "MIKWALA YA ASHA NGEDERE "
mama aliruhusu watu wale kwa urefuvwa kamba!!
Angalia report mbili za CAG,!! ni za hovyo ufisadi, hajawahi tokea miaka hata ya Mkapa , Jiwe na JK!!
Katika hayo mafisadi wameishia kutukannwa STUPID!!
Mazingira context kama hiyo Majaliwa afanye Nini ulitegemea??
"Don't over smart your bossy,even the Boss is stupid"
🤔🤔🤔
Ukiwa katika Inner cycle, patakuwa na mstari Mwembamba unaotenganisha uadilifu wake na matendo ya jumla ya inner circle members.Angekuwa anawapenda watanzania angekataa huo ushetani akajihuzulu, yeye ni sehemu ya ufisadi, kwanini asisimamishe hao wakurungezi?
Ujinga tu tunakaririshwa kama anaweza kujihuzulu Waziri Mkuu wa Uingereza sembuse huyu wa nchi hata haipo kwenye ramani anashindwa nini kama ni mwadilifu? huyu ni sehemu ya tatizo namfahamu vizuri tangu 2016 na nimewahi kufika kwake kupitia mdogo wake na mkewe hata ndugu zake aliowapachika serikalini wengi nawafahamu vizuri sn.Ukiwa katika Inner cycle, patakuwa na mstari Mwembamba unaotenganisha uadilifu wake na matendo ya jumla ya inner circle members.
Ndo Maana akina Dr Philip Mpango, na Pinda, na Anne Makinda wapo pembeni,hawataki kuwa sehemu ya Makandokando.
Mwisho Mwishoni usifikiri kujiuzuru kwa Waziri Mkuu ni saw na "KUSUKUMA KETE KWENYE MCHEZO WA DRAFT"
kujiuzuru kwake ni kuundwa Tena kwa serikali baraza zima la mawaziri, nchi inatikisika,🤔🤔
For very concrete reason, waziri mkuu anajiuzuru, Tena siyo kwa kuandika tu barua, kwa mashauriano na mkuu wa nchi, na vyombo vya usalama!!
Wewe kama unaishi TZ unajua utamaduni wa kujiuzuru sio rahisi, aliweza Mwanaume Lowasa na Mzee ruksa, wastarehe kwa amani!!Ujinga tu tunakaririshwa kama anaweza kujihuzulu Waziri Mkuu wa Uingereza sembuse huyu wa nchi hata haipo kwenye ramani anashindwa nini kama ni mwadilifu? huyu ni sehemu ya tatizo namfahamu vizuri tangu 2016 na nimewahi kufika kwake kupitia mdogo wake na mkewe hata ndugu zake aliowapachika serikalini wengi nawafahamu vizuri sn.
Ndiyo hivyo sasa kumbe huyu mzee ni sehemu ya tatizoWewe kama unaishi TZ unajua utamaduni wa kujiuzuru sio rahisi, aliweza Mwanaume Lowasa na Mzee ruksa, wastarehe kwa amani!!