Pre GE2025 Ushauri kwa Kassimu Majaliwa: Mjomba kesho yako imevurugwa kwa Makusudi, fuata nyazo za Dkt. Mpango Philip

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
alipokuwa akimnadi mama majukwaan kwa kusema '' fomu ni moja tu'' alikuwa halioni hili?
majaliwa ndiye wazir mkuu pekee ambae hajaapa kwa Rais.. yupo yupo tu.. ndio mana kawekewa naibu alieapa.. na kingine usijisahaulishe ile fitina waliyokuwa wanaipika wakati magufuli amebaki mwili na roho kutoka.. asingekuwa mabeyo huyu majaliwa angempiku huyu mama.....
kwa hiyo kwa namna yoyote ile huyu majaliwa hawezi kurudi kwenye circle ya kizimkazi...
 
Fitna baada ya kifo Cha Magufuli ilimuhusu zaidi Bashiru, ndo Maana baada bya kuingia madarakani alimpa Nafasi.

Kuapa kulifaa kama angevunja Baraza la mawaziri, na kumteua tena!!! Waziri Mkuu anapaswa baada bya kuteuliwa na kuidhinishwa na bunge ndani ya siku 14 kabla bya bunge jipya.

Samia hakuwa ametoka kwenye uchaguzi!!, Samia hakuwa amelivunja Baraza la mawaziri na kuteua Tena waziri mkuu!!

Kama katiba ilidai hivyo haikuwa wajibu wa Majaliwa KUDAI aape.

na kama alishiriki lile sakata basi anastahili sana pongezi, kwani akiona mbali sana kwa uongozi hovyo wa huyu Mama Abdul.
 
Ndiyo ukubali kuwa naye ni sehemu ya tatizo kubwa
Kuna tatizo la mfumo, na tatizo la an individual, Majaliwa as an individual Yuko Smart, lakini hana wakati na platform nzuri kuonesha hali yake ya utendaji nzuri, Yuko underrated na Boss.

" Don't over smart your boss"
 
Hizo sababu zako ni za kipuuzi sn hazina mashiko, yupo kimaslahi zaidi, huwezi ukafumbia macho wizi mkubwa na matumizi ya anasa serikalini kisa boss wako hataki ushughulike na tatizo na huku umekula kiapo, ni ujinga tupu unatakiwa kuonyesha njia boss hata akikutoa wananchi wataamua, kwani uliapa kumtumikia boss au wananchi? tuna kwama hapo
 
Maoni yako yanaheshimiwa Mkuu, kwa mawazo Yako kuwa ni sababu za kipuuzi ni mtazamo wako baada ya tafakuri Yako NYEPESI.

Ukweli ni kwamba huwei ku outshine mbele bya Boss, " Don't over smart your boss" hata wewe usingefanya lolote mbele ya Rais kama ungekuwa PM.

Unapokuwa subordinate wa boss ni lazima u comply na Boss wako, huo ndo ukweli mahali popote!!
 
Kwamba kushughulika na wezi mpk boss apende?
 
SΓ sa tuna mazungumzo nae, Γ takuwa mgombea kupitia Chadema ili uΓ§haguzi ukiisha awe pm mstaafu kama sumaye.
 
We mjomba ni wa kwako, ila Akiwa waziri mkuu ni wetu sote. WATANZANIA hatuna udini, Wala vyeo hatupeani Kwa unafiki au undugu hayo ya kumtaka mjomba wako awe mgombea mwenza zinatoka wapi.
 
Ni kweli ni muda wa mzee mzima kujitafakari na kuamua kumpumzika - ukiona shughuli za maana wanakuruka basi jua washakukalia kikao kizito.
 
Ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.
 
Ushauri Mzuri sana, hata mimi naunga Mkono hili. Huyu jamaa namkubali sana na isingekuwa vyema kuja kuishia kuwa Mwenyekiti wa Baadhi ya Kamati za Bunge au Naibu Waziri TAMISEMI. Angepumzika abaki na kulinda heshima yake. Forever he will be remembered!!
 
Tangu tupate uhuru ni Nyerere tu aliyepata kuwa Waziri Mkuu kwa muda mfupi na baadaye kuwa Rais !
Na Mawaziri Wakuu wote waliofuata wapo waliohudumu kwa miaka 10 yaani vipindi vyote viwili vya Rais aliyemteua na wengine hawakupata bahati hiyo !

Kwani ni lazima watu wazeekee madarakani kama yule wa miaka 80 ??!
🀣🀣 πŸ˜‚ !
Na wastaafu wengine hawataki kustaafu πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜‚

Kazi kweli kweli. πŸ˜³πŸ™„ !
 
Tanzania PM mwisho miaka 10. And he knows that. Hiyo nafasi October 2025 inakuwa Vacant.
 
We mjomba ni wa kwako, ila Akiwa waziri mkuu ni wetu sote. WATANZANIA hatuna udini, Wala vyeo hatupeani Kwa unafiki au undugu hayo ya kumtaka mjomba wako awe mgombea mwenza zinatoka wapi.
Soma vizuri andiko, Kisha ulielewe sio kuokota neno moja neno Mjomba nimeliwekea ".............." kama unaelewa stadi za uandishi utaelewa nachomaanisha!!

Ukanda na Dini ni vigezo ambavyo havisemwinwazi, huwezi weka wakristu tupu au waslamu tupu kwenye TOP LAYER ya uongozi wa juu, haitakiwi.

Pili kanda kama Kuna maslahi ya chama au nchi, kanda ukanda lazima utumike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…