Pre GE2025 Ushauri kwa Kassimu Majaliwa: Mjomba kesho yako imevurugwa kwa Makusudi, fuata nyazo za Dkt. Mpango Philip

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inaonekana hujaelewa andiko langu, nalenga pia kuonesha asigombee Tena ubunge, kwani sio vizuri kuwa yeye mbunge wa kawaida bungeni kutoka uwaziri mkuu!!!

Jifunze kusoma na kuelewa!!
 
Muulize Samia baada ya kumaliza miaka yake ya kurithi kwa Magufuli Bado anataka Tena na amejipitisha kuwa mgombea πŸ€”πŸ€”
Kama angekuwa amejipitisha CCM wangekuwa wameshapinga hadharani !
Lakini kwa kuwa wapo kimya sisi tunajua wamempitisha wenyewe ili agombee awamu yake ya kwanza RASMI ya URAIS !
 
Kwamba kushughulika na wezi mpk boss apende?
Naona SoMo la Logic linakusumbua, mbali ya intensive and clear description, na plastering nayofanya kwa kujibu inaonekana Bado huelewi!!

Kuleni kwa urefu wa kamba, kutukannwa STUPID, hakuna hatua ya mkuu wa nchi anachukua, wewe ni nani?? PM ni nani aende kinyume na attitude ya Boss??

" Don't over smart your boss" even the Boss might be stupid, inefficient πŸ€”πŸ€”
 
Ni kweli kabisa aiende kwenye nafasi za kugombea hasa ubunge, ingawa bado ana morali kwenye medani ya siasa na uongozi wenzake wote baada ya uwaziri mkuu walipumzika. Kina sumaye na kina pinda.
Atulie ale zile nafasi za uenyekiti kwenye mabodi au ukuu wa vyuo.
 
Sikatai nachosema acheni kumtetea Majaliwa naye ni sehemu ya tatizo kubwa kwa nchi hii
 
Huyo Ka-telephone unayempigia debe alikua amekuambia kuwa anataka ugombea mwenza?
Yeye kutokuteuliwa kuwa mgombea mwenza kunakupunguzia nini mpaka upige kelele zote hizi?
Umekurupuka. Pengine ni Kwa sababu huna akili!
 
Huyo Ka-telephone unayempigia debe alikua amekuambia kuwa anataka ugombea mwenza?
Yeye kutokuteuliwa kuwa mgombea mwenza kunakupunguzia nini mpaka upige kelele zote hizi?
Kiukweli kama CCM ingekuwa serious watanganyika, Ka-atelephone alitakiwa apewe form tu.
 
Factor kubwa itakayomng'oa Katelephone ni ukanda anaotoka,ukanda anaotoka ndo ukanda anaotoka Nchimbi kwa hiyo itakuwa vigumu kwa viongozi wakuu wawili kutoka ukanda mmoja maana watu wataitafsiri kama nchi ni ya watu wa kule tu.Nadhani kwa heshima yake wangeshauliana naye ili aombe kupumzika.
 
Yaani hapo Umeua kaka, huo ndo ukweli Kabisa
 
Mkuu naomba kujua kwa sasa PM yupo wap? Maana kwenye summit sijamuona sina kumbu2 kw Mara ya mwisho nmemsikia lini ila nadhan wakati wanafunga bunge! Au nafas yake imekasimiwa au kukaimiwa na mtu? Ambae anafanya majukum kama yy?


Sitaki kuamini Nwm kama anakaim? Au anafanya majukumu yake kama naibu!?
 
Mkuu naomba kujua kwa sasa PM yupo wap? Maana kwenye summit sijamuona sina kumbu2 kw Mara ya mwisho nmemsikia lini ila nadhan wakati wanafunga bunge! Au nafas yake imekasimiwa au kukaimiwa na mtu? Ambae anafanya majukum kama yy?


Sitaki kuamini Nwm kama anakaim? Au anafanya majukumu yake kama naibu!
 
Kwakweli sijui, yupo Jimboni kwake? Yupo Dodoma, yupo DSM?? ila nimeshanngaa kuona Dotto Biteko yupo kwenye mkutano wa nishati kwa kofia ya Naibiu PM, wakati PM yupo.

Pia mkutano wa nishati unahusu Marais na mawaziri wa fedha πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…