Ushauri kwa Makonda: Shughulikia redio ya TBC Taifa, soka waachie wenye uwezo

Ushauri kwa Makonda: Shughulikia redio ya TBC Taifa, soka waachie wenye uwezo

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
TBCtaifa fm haisikiki vizuri sehemu nyingi tu na hukatika mara kwa mara.Mfano huju Mwanza maeneo ya kiseke ppf,msumbiji,redio haisikiki.

Cha ajabu eti bongofm inasikika vizuri tbcfm haisikiki.TBC fm inashindwa hata na viredio vidogodogo vinasikika vizuri.

Makonda fuatilia jambo hili yawezekana unadanganywa sana.Sasa unakazania mpira wa miguu huku redio haisikiki?
 
Back
Top Bottom