Ushauri kwa Mange Kimambi

Naona hii kadhia ya makonda inakutoa roho!
Umeanzisha thread za kutosha leo umeona haitoshi!

Umeamua uanze kuparamia wato wanaomuandama!

Mange lile jeshi la mtu mmoja!
bahasha ya kaki kapata huyu warumi naona uzi wa karibia kumi leo doooh mange mwenyewe hamnazo bashite hata kaa amsahau mange ............... malechela naona kampigania makonda kabwaga manyanga sasa
 
 
Mkuu huwezi jua labda ana make money kuliko angefanya kazi... Maisha ya mtu ni inbox kujua mpaka password
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…