Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Naona hii kadhia ya makonda inakutoa roho!
Umeanzisha thread za kutosha leo umeona haitoshi!

Umeamua uanze kuparamia wato wanaomuandama!

Mange lile jeshi la mtu mmoja!
bahasha ya kaki kapata huyu warumi naona uzi wa karibia kumi leo doooh mange mwenyewe hamnazo bashite hata kaa amsahau mange ............... malechela naona kampigania makonda kabwaga manyanga sasa
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite[/

+13108554352 namba yake hiyo hapo... Huku hayupo ila unaweza kumpigia na kufikisha ujumbe wako kwake
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Mkuu huwezi jua labda ana make money kuliko angefanya kazi... Maisha ya mtu ni inbox kujua mpaka password
 
Back
Top Bottom