PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bahasha ya kaki kapata huyu warumi naona uzi wa karibia kumi leo doooh mange mwenyewe hamnazo bashite hata kaa amsahau mange ............... malechela naona kampigania makonda kabwaga manyanga sasaNaona hii kadhia ya makonda inakutoa roho!
Umeanzisha thread za kutosha leo umeona haitoshi!
Umeamua uanze kuparamia wato wanaomuandama!
Mange lile jeshi la mtu mmoja!
Duh!!!Mimi mama ako, kuwa na adabu, mfyuuu
Ohooooo!!!Hee kumbe dume nilijua mwanamke aisee
PoleeeeLol, faken
Aisee anamsema huyu Dada wa marekani kumbe huyu jamaa ni mwanaume professional kwa umbeya duu.nimechokaMonnicca mama wala usibishane nae kumbe wenzio ana group lake la umbea.. Professor Ndumilakuwili keshamaliza kazi... Daaah bora ya wewe monnicca
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]gasho
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite[/
+13108554352 namba yake hiyo hapo... Huku hayupo ila unaweza kumpigia na kufikisha ujumbe wako kwake
Binamu kakutosa Leo... Mpigie Bashite aje!!Aaah binamu unanigeuka
Duh!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Ngoja nizae na baba ako ndo utajua vzur jinsia yangu
Naona kama unatupotezea lengoAaah binamu unanigeuka
Ohoooo!!!Duuuuh me huwa najua huyu mtu ni KE kumbe ME, Hatari sana aiseh.
Ohooooo!!!Aisee anamsema huyu Dada wa marekani kumbe huyu jamaa ni mwanaume professional kwa umbeya duu.nimechoka
Mbona unazidi kunichanganya? 2013 uliandika kuwa wanaume siku hizi nyie ni wambea sana hapa tena unasema wewe ni mama.Mimi mama ako, kuwa na adabu, mfyuuu
Mkuu huwezi jua labda ana make money kuliko angefanya kazi... Maisha ya mtu ni inbox kujua mpaka passwordKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Bilashaka hata 0713 yako imelegea kama lilivyolegea domo lako, wizara ya afya wanakutafuta huko!Na sasa hivi nataka kulala na baba ako, nadhani utaniheshimu mwanaizaya wewe, halafu ukitoka hapa kasafiche uch* wako na jiki,maana unatoa harufu
Ohooooo!!!Mbona unazidi kunichanganya? 2013 uliandika kuwa wanaume siku hizi nyie ni wambea sana hapa tena unasema wewe ni mama.
Aisee jamani nisaidieni au huku JF kuna majini 12[emoji125] [emoji125] [emoji125]