Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Ohoooo!!!pitia hizi post zake hapo chini kuna kitu utabaini[emoji116]
59dbb52f428022846ec4a14b206f8616.jpg
6d80a6725f4cb922c62ea573f55e2c00.jpg
ivi mi najua siku zote uyu ni demu kumbe ni mvulana
aiseeee tunaelekea wapi siku izi???

ndo maana mvua zina goma kunyesha nowdays
 
WEWE KAPAKE LIPTI



Itakua inakusumbua wewe zaidi usiyejua kuchambua mambo na kujua which issue is sensitive kwa taifa ,Hata wewe ni mmojawapo wa watu wanotumia vyeti fake mwisho wa siku mnaishia kusign deed pole na kuacha majina yenu halisi

wewe unayejiita warumi elimu yako imekusaidi na kitu gani hasa?GROW UP
Bahat mbaya nimeishia la saba, sna cheti
 
Anamnanga Makounder kwenye social networks ilhali yeye na usomi wake vyeti kafungia kwenye kabati, labda huko US haajiriki, hana kwolifikeshen za kupata ajira rasmi, anachoweza huyu dada ni kupiga domo mitandaoni.
Lakini si anapata ela ya kula na ana pa kulala huko ughaibuni sasa tatizo liko wapi?
 
mange nae tatizo wivu na uzandiki vinamsumbua... yaani saa hizi mwenzenu anajiona mwanaharakati wa mtandaoni....!!!!
Wivu yupo marekani lakini kafeli maisha, anapitwa hadi akina Lulu ambao anawez kumzaa, na bado atavuja bleed mwaka mzima kwa wivu
 
Sina uhakika kama anapitia Huku Mange ila unaweza ukamdm instagram au what's app namba yake ipo kwa page uone moto wake
Hapa hatukujui wewe jinsia gani ila kwa mange naamini tutakujua mpka bibi zako
Huku pia yumo, si ndo kazi yake ,unadhan anachakufanya US zaidi ya kuchunguza maisha ya watu waliomshinda kimaisha, mange ni fungu la kukosa
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Naona unatafuta kupewa makavu live kuanzia kuku wa nyumbani kwenu mpaka mababu.
I am sure kuna watu humu wanakufahamu au mshawahi exchanhe number hao hao akiamua kukutukana ndiyo watampa details zako.
Utashangaa anaanza kuku post kama alivyomfahamu dullar square...
Au we warumi huogopi kutukanwa maana yule akikuamulia hata usiposema lakini utajuta.
 
Mafanikio ya watu yanamfanya achanganyikiwe kutwa ana kazi ya kuandama waliomzidi. Na ni muongo namba moja. Rejea talaka yake ndo utajua ni muongo. Anapenda kuaminiwa asilimia Mia moja ikiwa ni muongo wa kiwango cha lami. Ndo maana yuko Kama skeleton[emoji23][emoji23][emoji23]
Ana nuksi Yule, hana lolote
 
Back
Top Bottom