Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waitara hakuisambaratisha chadema , sema tiss kwa maelekezo ya jiwe ndio waliharibu uchaguziWewe mpuuzi unayetumia mavi kufikiri unajua nini? Umesahau alivyoisambaratisha Cdm huko Tarime?
Matambo ya kijinga, kama alikuwa ameshiba alifukuzia ubunge wa nini? Mjinga sana yule mzee.Ila nilimpenda Mwakyembe. Alikufa kiume. Katika orodha ya wanaume nchi hii kwenye top three, Mwakyembe hakosi.
Aliwachana wajumbe wa Kyela live kuwa yeye alikuja kuomba ubunge akiwa ameshiba... Kwa hiyo wasimbabaishe...
ungekuwa na utimamu wa akili, ungejua tofauti ya uandishi wa ushabiki na usio wa ushabiki.Acha ushoga kushabikia ukabila
Kurudi kwao si kutategemea kama policcm watataka au?Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Mtu kama Waitara aanze kununua ng'ombe tayari kuwa mfugaji. Huu ndio mwisho wake wa siasa.Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Unaota ndoto za mchanaMtu kama Waitara aanze kununua ng'ombe tayari kuwa mfugaji. Huu ndio mwisho wake wa siasa.
Akachimbe jaribu na jamas yake.
Jinga weweWewe mpuuzi unayetumia mavi kufikiri unajua nini? Umesahau alivyoisambaratisha Cdm huko Tarime?
Nani kakuambia hiyo "Umoja Party itapata usajili wa kudumu?Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Nani kakuambia hiyo "Umoja Party itapata usajili wa kudumu?
Kwa habari kamili waulize CCK.
Wewe mpuuzi unayetumia mavi kufikiri unajua nini? Umesahau alivyoisambaratisha Cdm huko Tarime?
Umoja Party haipati usajili. Jiungeni katika chama cha msukuma mwenzenu, baba yenu Cheyo...UDP. wasukuma hamjui kucalculate kabisa. chama mnacho tayari kisha mnataka kuunda kingine.
Hao unaowashauri hawana ushawishi wowote, hao walibebwa na chama, baadae wakabebwa na magufuli,.. Hawana ushawishi wowote, na hawana sera wala mvuto wa Kisiasa
Usilinganishe Umoja party na Chadema. Umoja party ni juu ya moyo wa kizalendo kutetea maslahi ya taifa.
Umoja party ndio kokolo la chawa wote wa Magu
Lini wajumbe walikosa nguvu?
Dr Mwakyembe alifanyiwa nini na hao wajumbe pamoja na degrees zake zote [emoji848]