Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

IMG_20220426_102337.jpg
 
Ila nilimpenda Mwakyembe. Alikufa kiume. Katika orodha ya wanaume nchi hii kwenye top three, Mwakyembe hakosi.
Aliwachana wajumbe wa Kyela live kuwa yeye alikuja kuomba ubunge akiwa ameshiba... Kwa hiyo wasimbabaishe...
Matambo ya kijinga, kama alikuwa ameshiba alifukuzia ubunge wa nini? Mjinga sana yule mzee.
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Kurudi kwao si kutategemea kama policcm watataka au?
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Mtu kama Waitara aanze kununua ng'ombe tayari kuwa mfugaji. Huu ndio mwisho wake wa siasa.
Akachimbe jaribu na jamas yake.
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Nani kakuambia hiyo "Umoja Party itapata usajili wa kudumu?
Kwa habari kamili waulize CCK.
 
Wewe mpuuzi unayetumia mavi kufikiri unajua nini? Umesahau alivyoisambaratisha Cdm huko Tarime?

Tusiukatae ukweli. Mbona Hawa Mwaifunga alishinda Hapa Tabora Mjini lakini katangzwa mwakasaka. Sio kilaza aliyetangazwa alishinda. Kama Tabora TU ngome ya CCM chadema inashinda sembuse Tarime kwa wapinzani wenyewe.
 
Umoja Party haipati usajili. Jiungeni katika chama cha msukuma mwenzenu, baba yenu Cheyo...UDP. wasukuma hamjui kucalculate kabisa. chama mnacho tayari kisha mnataka kuunda kingine.

Cheyo hatawakubalia maana naye yupo kwenye coaliation na CCM .
 
Hao unaowashauri hawana ushawishi wowote, hao walibebwa na chama, baadae wakabebwa na magufuli,.. Hawana ushawishi wowote, na hawana sera wala mvuto wa Kisiasa

Waambie kabisa. Mtu Kama ndungai au bashiru Wana ushawishi gani? Labda kidogo polepole
 
Usilinganishe Umoja party na Chadema. Umoja party ni juu ya moyo wa kizalendo kutetea maslahi ya taifa.

Umoja inahitaji miaka ishirini na mitano kuifikia CHADEMA. ACT walikuja na gia Kama yenu wakidhani wataiweza chadema wakaishia kupata Kura 90 elfu za urais nchi nzima, kila Mtu akakimbia wakamuacha Zitto pekee yake Hadi Maalim alipokuja kumsaidia.
 
Back
Top Bottom