Naomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Unamtetea naonaNaomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.
Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.
Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.
Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza.
Hao wametumwa ku-divert attention na magari yao ya mchongo😂😂😂😂😂😂😂 huo mtungi hakikisha umetoka nao home
Simtetei na wala yeye sio aina ya wachungaji ambao kwa upeo wangu naweza kumuamini kukaa chini yake. Lakini katika hili mtazamo wangu ndio huo.Unamtetea naona
Naweza kulipwa Bilion nikasema ni mtupu😀😂😂😂😂😂😂😂 huo mtungi hakikisha umetoka nao home
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Na hiyo siku kila mtu aje na mtungi wa gas empty