Ushauri kwa Pastor Tony Kapola , kuprove watu wrong, andaa siku ujaze mtungi mtupu wa gesi live mbele za watu

Ushauri kwa Pastor Tony Kapola , kuprove watu wrong, andaa siku ujaze mtungi mtupu wa gesi live mbele za watu

Use your brain, sijasema asiyepona UKIMWI hana Mungu. Kama mtu anawaza kukufuru kwa sababu hajapata alichomwomba Mungu huyo ana tatizo lingine.

Kwa dunia yetu ya sasa hivi hasa kwa mtanzania kupona ukimwi kabisa ni muujiza. Kuona jua, kuvuta hewa ni kanuni za Mungu zilizowekwa mara moja na zina apply siku zote. Hakuna intervention ya kimungu katika utendaji wake wa kila siku.
Unarudia yale yale na hata hauleweki weeh mgalatia mana'ke unafika mbali zaidi unasema mwenyezimungu hana mwingiliano na sie kila siku na sie ana machaguo yanii
Inshort nikwambie wazi hakuna tena zama za miujiza kama alivyofanya Nabii Mussa kutupa fimbo ikawa nyoka au kupasua bahari kwa fimbo..mifano mingi tuu kinachotokea sahv ni mwenyezimungu tuu akukunjulie neema zake ambazo kuna zingine hata huombi na anakupa sasa utaita hiyo ni miujiza?
Isitoshe kwa nini ufosi ushuhuda na ungali una miujiza shusha hiyo miujiza yako live kama unavyodai mpk uokoke cheap reason yenu ambayo hamuishi kuimention..kuna watu wameokoka deeply na hiyo miujiza hawana hata ya kuhamisha kijiko kutoka kabatini
 
Hicho ki kapola ni kijizi tu kama vijizi vya kkoo tu kmmk
 
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Hata baada ya uongo wa wazi, bado waumini wake (siowaumini wa kristo), waumini wake wanazidi kumiminika kanisani kwake(kwenye biashara zake)
 
YSa
Naomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.

Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.

Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.

Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza
Yaan nyie ni makondoo na hivyo vitabu vyenu havikukosea kuwaita makondoo,yaan mtu anawadamganya live halafu mnashindwa kumuuliza swali dogo tuu,yeye anasema wakati anafanya huo miujiza kwani nyie mlikuwepo na nyie mngemjibu kwa kumuuliza tuu wakati yesu analisha wale watu elfu 5000 kwani yeye alikuwepo?,kama ameshindwa kuwapa uthibitisho wa yeye kujaza gesi anawezaje kuwathibitishia habar za yesu kulisha watu elfu 5
 
Inawezekana wewe ni mzee ni mzee na una elimu yako kubwa tuu ila ndio hivyo bado ni kipofu wa fikra🚮🚮
Sema wewe ndo hujashuhudia muujiza lakini usiseme siku za leo hakuna miujiza kwani mlikubaliana na Mungu kwamba aache kufanya miujiza?
Stori ya Ibrahim kutupwa kwenye moto haipo kwenye Biblia sijui umeitoa wapi. Watu wamepona mpaka Ukimwi bongo hii hii. Tatizo tukiongelea miujiza mnaanza kuangalia wachungaji wa kwenye TV.
 
Ushuhuda huu angeutoa miaka 10 iliyopita labda angepata wafuasi ila kwa kizazi hiki Pasta ajipange sana kuwatapeli watu nacho ni kipaji!!!
 
Unarudia yale yale na hata hauleweki weeh mgalatia mana'ke unafika mbali zaidi unasema mwenyezimungu hana mwingiliano na sie kila siku na sie ana machaguo yanii
Inshort nikwambie wazi hakuna tena zama za miujiza kama alivyofanya Nabii Mussa kutupa fimbo ikawa nyoka au kupasua bahari kwa fimbo..mifano mingi tuu kinachotokea sahv ni mwenyezimungu tuu akukunjulie neema zake ambazo kuna zingine hata huombi na anakupa sasa utaita hiyo ni miujiza?
Isitoshe kwa nini ufosi ushuhuda na ungali una miujiza shusha hiyo miujiza yako live kama unavyodai mpk uokoke cheap reason yenu ambayo hamuishi kuimention..kuna watu wameokoka deeply na hiyo miujiza hawana hata ya kuhamisha kijiko kutoka kabatini
Itoshe kusema we are living in two different worlds in the same planet in which everyone is entitled to their own opinion
 
Inawezekana wewe ni mzee ni mzee na una elimu yako kubwa tuu ila ndio hivyo bado ni kipofu wa fikra🚮🚮
Tatizo la watanzania wengi tukubali kwamba upeo wetu wa mambo na uelewa wetu generally speaking ni mdogo sana ingawaje tuna access ya Internet.

Mimi nimetoa maoni yangu kwamba I know miujiza ipo na kulingana na experience yangu hilo sina shaka, na muujiza wa kujaza gesi unawezekana, suala la kwamba hiyo narrative ya mke wa pastor ni kweli au si kweli ni suala lingine.
Kingine ni kwamba kutoamini shuhuda ya
mtu sio dhambi kwa sababu muujiza sio
takwa la wokovu, hata usipokubali shuhuda za watu ila umeshika imani sahihi utaenda mbinguni.

Sasa kipi kinasumbua hapo? Watu wanatendewa mambo mengi tu ya miujiza lakini hawatakaa watangaze kwenye vyombo vya habari na wapo wengi pia wanaodanganya na kutapeli watu kupitia shuhuda za uongo lakini hilo haliondoi ukweli kwamba miujiza ya Mungu ipo.

Namna ya ku back up uwezekano wa hicho kinachoitwa muujiza kwenye platforms kama hizi ni kupitia scriptures. Mfano Nabii Eliya aliwahi kulishwa na kunguru n.k. Isipokuwa tu siwezi kuamini kila mtu. Biblia inafundisha kupima mambo.

That is my position, sasa kwa nini ionekane kama na support hicho kilichozungumzwa na pastor Tony na huyo mke wake! Wengine najua hamuamini kuhusu Mungu au hamuamini Biblia au hamuamini habari za kuokoka lakini nategemea mtu awe na uwezo wa kuelewa hoja kama inavyowasilishwa.
 
Itoshe kusema we are living in two different worlds in the same planet in which everyone is entitled to their own opinion
Imani si suala la wazo short in clear una miujiza mwaga hadharani kwa nini ufanye miujiza kwako halafu uje utuambie hadharani huku ukituhoji mlikuwepo?..wkt Yesu anaponya magonjwa na kufufua watu mbn alifanya hadharani na hakujinasibu wala kuleta egos za ajabu na wala hakukusanya utajiri..?..sana sana habari zilisambaa zenyw kivipi sasa iwe kinyume chake mnaleta zama za ushuhuda mnasababisha utapeli kutamalaki mpk mtu anatoka Congo 🇨🇩 kuja kutengeneza mtandao wa utapeli kuwatweza imani yenu na utu wetu watanzania
Daily mnaleta cheap cheap reasonable kwmb mpk umwamini Yesu sasa aliyemfufua alimwamini sa ngapi Yesu ilhali alikua mfu na hata wkt anaponya magonjwa mbn hakua na sharti mpk uniamni?..so what the earth are you talking about?..
 
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Unamtetea kana kwamba hadanganyi
 
Back
Top Bottom