Officialnasi
Senior Member
- Jun 24, 2024
- 108
- 109
Labda approve miuno ya papi mananasi
Miujiza kama hiyo hawakubali,hata Mwamposa hawezi kukubaliNa asiseme "usimjaribu Bwana Mungu wako." Kwasababu nabii Elia aliita moto ili kuythibitisha ukuu wa mungu wake
Una ujua mdomo wa bomba ya gesi ? Sio pampu ille dadeki😹😹Naomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.
Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.
Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.
Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza.
Na utestiwe kweli hauwaki mbele ya watu..😂😂😂😂😂😂😂 huo mtungi hakikisha umetoka nao home
Kwa hiyo mleta mada ni kama MFarisayo flani hivi aliechangamka😆Naomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.
Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.
Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.
Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza.
Ni sahihi kabisa,hata Mimi Kuna kipindi ndugu yangu nilikuwa namuona sana kwenye ndoto na sauti zake zilikuwa haziishi kusikika masikioni kwangu lakini niliogopa kuwambia ndugu jamaa na marafiki kwamba jamaa anaroga nikidhani watahisi nataka kuwehuka kwasababu sijawahi kusikia kwa mtu yeyote kwamba yule ndugu yetu ni mchawi.Naomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.
Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.
Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.
Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza.
Akifanikiwa kufanya hivyo nakuwa pastor wake🤣🤣🤣Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Nauandaa wa kwangu maana ulishawekwa store hali ni teteAtangaze kabisa kila mtu aje na mtu wake iwe ni ibada ya kujaza mitungi empty ya gesi
Yaani mimi ndiyo ningekuwa kondoo wake hata kanisani ningeacha kwendaShida ni mke wake ,aliongea vitu vya uongo sana sasa amempa shida mume wake kuuendeleza uongo ili kuwaaminisha watu waamini, matokeo yake nae kapaniki na ndiyo amezidi kuharibu kabisaa !! Ila hapa kondoo wenye akili wameshtuka kupigwa ... ila wale maji ya bendera wataendelea
mbona mnapoteza muda kudiscuss hawa wasanii? hakuna pasta wala supgeti mitume wala watumwa ni sanaa tu mtu angekua na miujiza si angeenda muhimbili afufue mochwari nzima siku hiyo kusiwe na mtu, mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuPastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Zama za miujiza zimeshapita nyie wagalatia..sasa mnaleta zama za ushuhuda sijui mmelishwa nini nyie wagalatia hata msome muwe na degree zote lkn ushuhuda ndo ataaminiNaomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.
Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.
Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.
Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza.
Miujiza ipo mpaka kesho, shida ni kwamba tuko katika zama za wachungaji na manabii wengi wa uongo kwa hiyo hata yale ya Mungu yanayotokea hayasikiki.Zama za miujiza zimeshapita nyie wagalatia..sasa mnaleta zama za ushuhuda sijui mmelishwa nini nyie wagalatia hata msome muwe na degree zote lkn ushuhuda ndo ataamini
Hakuna miujiza ya kumuomba mwenyezimungu papo hapo likawa kama zamani manabii walivyo omba vikawa kama Nabii Ibrahim alivyotupwa kwny moto akaomba moto haukumuunguza mifano ni mingi lkn kwa zama hizi hilo jambo hakunaMiujiza ipo mpaka kesho, shida ni kwamba tuko katika zama za wachungaji na manabii wengi wa uongo kwa hiyo hata yale ya Mungu yanayotokea hayasikiki.
Sio shida kutoamini miujiza after all sio hitaji la wokovu. Ukiamini sio dhambi na usipoamini sio dhambi
NyoooPastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Sema wewe ndo hujashuhudia muujiza lakini usiseme siku za leo hakuna miujiza kwani mlikubaliana na Mungu kwamba aache kufanya miujiza?Hakuna miujiza ya kumuomba mwenyezimungu papo hapo likawa kama zamani manabii walivyo omba vikawa kama Nabii Ibrahim alivyotupwa kwny moto akaomba moto haukumuunguza mifano ni mingi lkn kwa zama hizi hilo jambo hakuna
Mnachofanya sasa ni kuleta viroja kwa kuhadithia ushuhuda, huku wachungaji wakizidi kumiminika kuja na vifaa mbalimbali ili waviamini kuwa vinatenda miujiza...hapo bado hamjaombea vilema na vipofu watu wakihoji how mnadai mpk umwamini Yesu ndo utapona sasa huu sio mzaha?
Mama mchungaji ameshuhudia inatosha.Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya