Ushauri kwa Pastor Tony Kapola , kuprove watu wrong, andaa siku ujaze mtungi mtupu wa gesi live mbele za watu

Sema wewe ndo hujashuhudia muujiza lakini usiseme siku za leo hakuna miujiza kwani mlikubaliana na Mungu kwamba aache kufanya miujiza?
Stori ya Ibrahim kutupwa kwenye moto haipo kwenye Biblia sijui umeitoa wapi. Watu wamepona mpaka Ukimwi bongo hii hii. Tatizo tukiongelea miujiza mnaanza kuangalia wachungaji wa kwenye TV.
Kupona ukimwi ndo muujiza?..na je yule asiyepona na aliomba unataka amkufuru mwenyezimungu kwmb ana upendeleo?..yanii umeomba mwenyezimungu kakupa unaita muujiza sasa na wale waliomba hawakupewa wamwitaje mungu?
Unataka muujiza gani kushudia zaidi hujaridhika na uwepo wa jua mwezi na mbingu na viumbe vyote ambavyo wewe mwanadamu wala huvilishi..mbn mnalazimisha ushuhuda kama ndo muujiza si mnadai mnafufua na kuponyesha vilema wagalatia acheni uzuzu wenu huo?
 
Naomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.

Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.

Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.

Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza.
Religion is a scam....
 
Watanzania wanamatatizo sana, embu fikiri mtu anaamini kabisa stori ya kujaza mtungi wa gesi kwa maombi. KWELII!!?

Ni watu wachache sana wamenufaika na mfumo wetu wa elimu, watu wengi sana hawajanufaika nao kabisa.
 
Mambo ya imani yapo tofauti hutakiwi kuongea hivyo wewe inatakiwa unakaa kimya tu coz imani sio ushabiki wewe
 
Watanzania aliye waloga Mungu anawaona
 
Mambo ya imani yapo tofauti hutakiwi kuongea hivyo wewe inatakiwa unakaa kimya tu coz imani sio ushabiki wewe
Imani gani hapo ipo?, watu wenye imani hasa hiyo ya kikristu (vipawa vya roho mtakatifu kama anavyosema amejawa huyo roho mtakatifu) wanajua huo ni wizi na imani hiyo haipo hivyo sio imani inayohujumu biashara na mamlaka, zaidi imani inasema mamlaka ziheshimiwe. Hata Yesu hakutaka kuzipinga mamlaka na alisema wazi ya Kaisari apewe Kaisari.

Sasa huyo anayechukua ya Kaisari yeye ametoa wapi hayo maelekezo?, Hata Yohana alielekeza wafuasi wake na pia Paulo Mtume alisema wazi mambo hayo na kutoa mafunzo. Wewe unasema imani ni imani ipi na ya nani hiyo unaisemea wewe?.

Ule ni upumbavu mkubwa sana alioufanya na anaoendelea kuufanya ukubali ukatae ule ni upumbavu.
 
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Huwa wanasingizia eti utakuwa unaijaribu imani!
 
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Kabisaa..😂😂
 
Hata shetani alitaka kum prove Yesu wrong kwa kumwambia " Kama wewe Ni Mwana wa Mungu badili mawe hata yawe mkate". Bwana mkubwa aligoma.
 
Kupona ukimwi ndo muujiza?..na je yule asiyepona na aliomba unataka amkufuru mwenyezimungu kwmb ana upendeleo?..yanii umeomba mwenyezimungu kakupa unaita muujiza sasa na wale waliomba hawakupewa wamwitaje mungu?
Unataka muujiza gani kushudia zaidi hujaridhika na uwepo wa jua mwezi na mbingu na viumbe vyote ambavyo wewe mwanadamu wala huvilishi..mbn mnalazimisha ushuhuda kama ndo muujiza si mnadai mnafufua na kuponyesha vilema wagalatia acheni uzuzu wenu huo?
Use your brain, sijasema asiyepona UKIMWI hana Mungu. Kama mtu anawaza kukufuru kwa sababu hajapata alichomwomba Mungu huyo ana tatizo lingine.

Kwa dunia yetu ya sasa hivi hasa kwa mtanzania kupona ukimwi kabisa ni muujiza. Kuona jua, kuvuta hewa ni kanuni za Mungu zilizowekwa mara moja na zina apply siku zote. Hakuna intervention ya kimungu katika utendaji wake wa kila siku.
 
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadangany

UNATAKA ARUDI KIJIJIN MPWAAA

MJINI AKILI TU
 
Naomba niseme kwanza SIMTETEI huyo pastor. Lakini muujiza anaousema umefanyika wala sio mkubwa kihivyo. Kwa watu waliookoka na kukaa katika imani kwa muda mrefu watakuwa wameshuhudia mambo mengi ambayo Mungu amewafanyia.

Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kukosa hekima ya nini la kushuhudia wapi. Sio kila alichokufanyia Mungu unapaswa ushuhudie kwa watu, mengine yanabaki siri yako wewe na Mungu, mengine wewe na watu wachache wa karibu yako.

Mengine ukisema ushuhudie ni ama utaonekana mwongo au yatakuletea madhara ambayo yangeepukika kama yasingeongelewa. Hata Yesu mambo mengine aliyofanya aliwaambia watu wasiyatangaze; alikuwa na sababu zake.

Kusema athibitishe huo muujiza sio sahihi. Niishie hapo kwanza.
Mkuu haikiongelewi kitu ambacho mkewe hakusema. iko wazi, gesi imesha akapuliza phuuuuu ikajaa wakatumia wiki mbili. Sasa nini kigumu kuelewa hapo, aombe tu, mtungi mwingine mmoja ujae.
 
Watanzania wanamatatizo sana, embu fikiri mtu anaamini kabisa stori ya kujaza mtungi wa gesi kwa maombi. KWELII!!?

Ni watu wachache sana wamenufaika na mfumo wetu wa elimu, watu wengi sana hawajanufaika nao kabisa.

Hii nchi ina wajinga wengi sana, ndio mana CCM na wahuni wenzao wana itawala kirahisi sana.
 
Mkuu haikiongelewi kitu ambacho mkewe hakusema. iko wazi, gesi imesha akapuliza phuuuuu ikajaa wakatumia wiki mbili. Sasa nini kigumu kuelewa hapo, aombe tu, mtungi mwingine mmoja ujae.
Hahahahaha, muujiza ule unawezekana lakini wale mimi siwaamini hasa kwa trend ya maneno yao wanayoendelea kuongea.
 
Back
Top Bottom