Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inchi hii haina diniHabari...
mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali
mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu juu ya jambo hilo ni hizi hapa chini
1.waislamu tumeelekezwa namna bora ya kusalimiana nayo ni kusema assalaamu alaykum (amani iwe nanyi au amani iwe juu yenu) tena nadhani siyo waislamu pekee tunaotakiwa kutumia salam hiyo. wakristo pia wanatakiwa kutumia hiyo kitu kwa sababu maneno kama tumsifu yesu kristo au bwana yesu asifiwe au haleluya ni vionjo tu katika hotuba kama ilivyo kwa waislam wanavyosema swalu alan-nabiy (tumswalie mtume) au takbiir nk, tuishie hapo maana mada yangu sijalenga mambo hayo leo.
kwahiyo rais samia anapoishia kusema tu yale maneno bila kusema salaam alaykum inakuwa hajasalimia watu (kwa lugha nyepesi amekiuka utaratibu wa dini). unapokutana na watu kitu cha kwanza ni kuwasalimia (kuwatolea salamu) ndipo mazungumzo mengine yaendelee na hata hayo mazungumzo yatakuwa ni yenye kufaa yakitangulizwa salamu. salamu ni zawadi itokayo kwa mwenyezimungu yenye baraka na mema rejea surat nur 24:61
2.hili la pili ambalo ndilo limenifanya niandike uzi ni kwamba kauli ile ina shirki ndani yake! kivipi? twende pamoja. mwislamu anapotaka kufanya lolote (la heri) anatakiwa kusema bismillah ikiwa ina maana ya "kwa jina la mwenyezimungu" yaani "naanza kufanya jambo hili kwa jina la mwenyezimungu".
bi-kwa, ismi-jina, allah-mwenyezimungu, maana yake hapo ukiondoa hilo jina la mwenyezimungu ukaweka jina lingine inakuwa umefanya shirk yaani kufuru hebu tupachike pale tuone... kwa jina la jamhuri itakuwa 'bismijamhuri'. tumeona kwa jina la mwenyezimungu maana yake naanza hichi nifanyacho kwa jina la mwenyezimungu haya hiyo kwa jina la jamhuri je maana yake ni nini? kama naanza kwa kuwasalimu kwa jina la jamhuri ni shirki hiyo. pia kama naanza kuwasalimu kwa jina la jamhuri basi tunarudi palepale kwenye hoja namba moja ambapo mara nyingi anasema anaanza kutusalimia kwa jina hilo na kisha sioni/sisikii rais akitusalimia
ushauri juu ya hii hoja nashauri rais (baada ya kufanyia kazi hoja namba moja) aseme tu jamhuri ya muungano wa tanzania kisha hadhira itaitikia tu kazi iendelee kama kawaida, maneno "kwa jina la" yaondolewe asiyatumie kabisa
najua urais ni taasisi hivyo wabobevu wa dini ya kiislamu mnaomzunguka rais fuatilieni hii hoja yangu kama inaingia akilini ishughulikieni. pia itambulike nimemlenga moja kwa moja rais kwakuwa ndiyo kama mwanzilishi wa kauli hiyo na hawa wengine wakaiga tu kwahiyo kusema haifai simaanishi ni kwa yeye rais tu halafu kwa wengine ikawa yafaa, laa!
na mola ndiye mjuzi zaidi
Alafu tizama uzi woote huo ..gazetii..Why watu mnapenda kuona tatizo hata ambapo hakuna tatizo?
Ni kukosa kazi??au kukosa akili?au both?
Mada nyingine ya kipumbavu. Samia siyo Shehe wa masjid!! Na Tanzania haina dini japo wananchi wake wana dini. Hiyo ndiyo salamu neutral kuliko zoteHabari...
mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali
mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu juu ya jambo hilo ni hizi hapa chini
1.waislamu tumeelekezwa namna bora ya kusalimiana nayo ni kusema assalaamu alaykum (amani iwe nanyi au amani iwe juu yenu) tena nadhani siyo waislamu pekee tunaotakiwa kutumia salam hiyo. wakristo pia wanatakiwa kutumia hiyo kitu kwa sababu maneno kama tumsifu yesu kristo au bwana yesu asifiwe au haleluya ni vionjo tu katika hotuba kama ilivyo kwa waislam wanavyosema swalu alan-nabiy (tumswalie mtume) au takbiir nk, tuishie hapo maana mada yangu sijalenga mambo hayo leo.
kwahiyo rais samia anapoishia kusema tu yale maneno bila kusema salaam alaykum inakuwa hajasalimia watu (kwa lugha nyepesi amekiuka utaratibu wa dini). unapokutana na watu kitu cha kwanza ni kuwasalimia (kuwatolea salamu) ndipo mazungumzo mengine yaendelee na hata hayo mazungumzo yatakuwa ni yenye kufaa yakitangulizwa salamu. salamu ni zawadi itokayo kwa mwenyezimungu yenye baraka na mema rejea surat nur 24:61
2.hili la pili ambalo ndilo limenifanya niandike uzi ni kwamba kauli ile ina shirki ndani yake! kivipi? twende pamoja. mwislamu anapotaka kufanya lolote (la heri) anatakiwa kusema bismillah ikiwa ina maana ya "kwa jina la mwenyezimungu" yaani "naanza kufanya jambo hili kwa jina la mwenyezimungu".
bi-kwa, ismi-jina, allah-mwenyezimungu, maana yake hapo ukiondoa hilo jina la mwenyezimungu ukaweka jina lingine inakuwa umefanya shirk yaani kufuru hebu tupachike pale tuone... kwa jina la jamhuri itakuwa 'bismijamhuri'. tumeona kwa jina la mwenyezimungu maana yake naanza hichi nifanyacho kwa jina la mwenyezimungu haya hiyo kwa jina la jamhuri je maana yake ni nini? kama naanza kwa kuwasalimu kwa jina la jamhuri ni shirki hiyo. pia kama naanza kuwasalimu kwa jina la jamhuri basi tunarudi palepale kwenye hoja namba moja ambapo mara nyingi anasema anaanza kutusalimia kwa jina hilo na kisha sioni/sisikii rais akitusalimia
ushauri juu ya hii hoja nashauri rais (baada ya kufanyia kazi hoja namba moja) aseme tu jamhuri ya muungano wa tanzania kisha hadhira itaitikia tu kazi iendelee kama kawaida, maneno "kwa jina la" yaondolewe asiyatumie kabisa
najua urais ni taasisi hivyo wabobevu wa dini ya kiislamu mnaomzunguka rais fuatilieni hii hoja yangu kama inaingia akilini ishughulikieni. pia itambulike nimemlenga moja kwa moja rais kwakuwa ndiyo kama mwanzilishi wa kauli hiyo na hawa wengine wakaiga tu kwahiyo kusema haifai simaanishi ni kwa yeye rais tu halafu kwa wengine ikawa yafaa, laa!
na mola ndiye mjuzi zaidi
Mwenyezimungu ndio mjuzi zaidi 🤲Habari...

Labda hana MunguHabari...

Musikiti Njoo Huku!!!Rais sio Kiongozi wa msikiti Wala hahutubii Waislamu acha ujinga