Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo nilijua unaandika point kumbe hewa tu(kwa lugha nyepesi amekiuka utaratibu wa dini)
Ujinga na umasikini ni vitu vibayaWhy watu mnapenda kuona tatizo hata ambapo hakuna tatizo?
Ni kukosa kazi??au kukosa akili?au both?
Duuh...Hadi mwamposa anasalamu yake 😂😂😂😂Kwahiyo wasio kuwa waislamu wao hawatasalimiwa?
Au ndio itakua
Asaalm aleikum...
Tumsifu yesu kristu..
Bwana yesu asifiweee
Mwanakondoo ameshindaa
Mwamposa oyeee🙄
Unakompliketisha tu mambo
Ndio ila rais ni wa wote hayo unayotaka mwambieni akafanyie msikitini au kwenye shughuli zenu ila kama unataka asalimie kwa salaam za kidini uwe na uhakika atatumia salaam zote na zile usizozipenda.mimi ni mwislamu na nimetoa ushauri kwa mwislamu wala sijagusia maswala ya kiserikali au kinchi hapa wala sija... sasa nashangaa matusi kwa kwenda mbele sijui kilichokukereni ni kipi?. vinginevyo angekuja shekhe hapa anielimishe hiyo "kwa jina la jamhuri" kama haina shirk ili niondokane na hiki ninachokielewa kuhusu kauli hiyo.
narudia tena "SALAMU TUNAYOELEKEZWA KUTUMIA WAISLAMU NI ASSALAAMU ALAYKUM" nyinyi wengine salimieni vyovyote mlivyofundishwa lakini ninachokazia ni kwamba JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KAZI IENDELEE siyo salamu bali ni kibwagizo kama watumishi wasemavyo solidarity forever (mshikamano daima) au wanamichezo wanavyosema michezo safii
narudia tena kushauri watu (hasa waislam akiwemo mama yangu rais samia) wasiseme "...kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania" bali waseme tu "jamhuri ya muungano wa tanzania" kuitikia kutabakia ni vilevile kwamba "kazi iendelee"
na mwenyezimungu ndiye mjuzi zaidi
Na sisi waumini wa baba askofu gwajima mfufuaji hatutaki kuchanganyiwa salamu na wa kwa mwamposaDuuh...Hadi mwamposa anasalamu yake 😂😂😂😂