Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

Hoja yake ni nzuri tatizo hatujamuelewa. Yeye hajashauri kuiondoa bali kuiboresha
 
inchi hii haina dini
 
Mi naona alibuni salamu yake isiyo na mkanganyiko, na ukitegemea kwenye hafla za kiserikali angelazimika kusalimia samaleko na bwana Yesu asifiwe, neno Yesu linawapa shida sana islamic kulitamka, kwahiyo kalikwepa kinamna hiyo, safi kabisa
 
Mada nyingine ya kipumbavu. Samia siyo Shehe wa masjid!! Na Tanzania haina dini japo wananchi wake wana dini. Hiyo ndiyo salamu neutral kuliko zote
 
Mwenyezimungu ndio mjuzi zaidi 🤲
 
Angekuwa anahutubia msikitini sawa ila kama anahutubia taifa lenye dini zote hadi wapagani basi salamu asipangiwe
 
Labda hana Mungu
 
Dah!mtoa madaa Falaa sana,binafsi Huwa siitikiagi jitu likinisalimia asalam alekuuu.....au bwana yesu asifiwee unless nimwumini mwenzangu.Spendi matendo yaletayo utenganooo.
 
Rais yupo sawaaa sana, Dah! Wafaasi wa Mudiii kichwanii wengii patupuu Sasa naamini so kwa hoja maviii hizooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…