Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

Siungi mkono hoja zingatia KATIBA mamlaka ya uteuzi ni ya Rais.
 
Upuuzi tu na mfumo dume kuonyesha mama hatoshi.
Our constitution is clear mama kwa sasa ni mkuu wa nchi, mkuu wa serikali na kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama na kwenye hilo hana ushirika na mtu mwingine awaye yote.
Mama tosha.
 
Mie nashauri rais aachane na mitandao ya kijamii, itampoteza! Kila mtu anashauri lake..
Kabisa...aachane nayo! Labda awe anasoma kujiburudisha, lakini siyo kuamini mengi ndiyo maono ya watanzania wengi na ayafanyie kazi.
Watampoteza!
Asimame yeye kama yeye, na wakijua anasoma kama alivyokuwa mwendazake, basi watahakikisha wanampindua kiakili!

Everyday is Saturday................................😎
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Rais ateue wale tu walio karibu nae kiutendaji ambao anaweza kufuatilia utendaji wao kazi, nao ni Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi, Wenyeviti wa Bodi. Watendaji Wakuu wa Mashirika ya Umma waajiriwe na Bodi za Wakurugenzi kwa kutumia Executive Search Entities zinazotambulika. Wakurugenzi wa Vitendo, MaRCs, MaDCs, MaDEDs na wa chini yao wawe Watalaamu na waajiriwe na Mamlaka ya Serikali ya Ajira (Utumishi?) kwa kutangaza kwa wazi nafasi hizo zinapokuwa wazi ili wanaokithi vigezo waombe, Chuo Kikuu cha Mzumbe kilianzishwa kuandaa watumishi hawa. Chama, Bunge na Mahakama wawe Marefa wa nje ya Uwanja wa kuhakikisha Refa wa ndani anachezesha ipasavyo na magoli yanafungwa.
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Mpango hajajielewa bado... Nadhani Covid-19 ilifika hadi kwenye medulla oblangata yake...
 
Naona Dr Mpango masikio yanazidi kichwa na unaonesha kihalisia tabia zako za kirundi. Nikushauri tu, watch out, Samia ndo Rais na unawajibika kwa Samia na wewe si lolote wala chochote bila Mhe. Raisi Samia.

Narudia tena watch out. Tutakuja kukukumbusha humu yakikupata. Ni rahisi sana Samia kupeleka hoja za wewe kujiuzuru nafasi zako zote kwa kutotii Mamlaka. Kumbuka hata Aboud Jumbe alikuwa Makamu wa Rais ila alivuliwa nafasi zake zote ikiwemo ya Makamu wa Rais.
Mimi ni mwananchi wa kawaida, mwache Dr Mpango, kenge wewe!!
 
Na kundi la kiongozi wa malaika liko on guard kuhakikisha mama anashindwa kazi ili liendelee kuneemeka.

Mama angefyatua wote wale senior walioachwa na jiwe aunde safu mpya tiifu kwake vinginevyo atapata tabu sana.

Ona kapelekwa cv ya mwanafunzi wa chuo kumteua kwenye nafasi nyeti kama DG wa TPDC .
Ndiyo maana nikashauri asaidiwe, Kama alokosea TPDC, vipi ma DED 180?
 
Acheni mama Afanye kazi yake.
Musimpangie.
Wakati nchi hii inahitaji watu waadilifu kuliko vyeti vyenye elimu ya mabeberu.

Wazanzibar ni waadilifu kuliko watu wa bara ambao ni wabinafsi na wahujumu uchumi kupitiliza.

Acheni mama afanye kazi yake kwa uhuru.
Mifumo kibovu waliyejiwekea wasomi wa bara ndiyo inayovuruga uchumi wa nchi hii yenye utajiri mkubwa.

Watu wa bara ni wengi na wasomi wakubwa lakini wanawaza ajira za serikali mana ndipo penye mwanya wa kukwapua .

Mh.Rais mama Samia badili kabisa mfumo wa wabongo waliozoea kukwapua na kujilimbikizia mali.

Rais ataamua mwenyewe na atateua kwa kuzingatia uadilifu wa Mtu. Kuna mkuu wa mkoa mmoja aliyekua na vyeti feki lakini aliudhibiti mkoa mkubwa sana.
Tunataka watu waadilifu wenye maono na uchungu na nchi sio watu wenye uchungu na maisha yao binafsi kwa sababu ya vyeti vyao.

Tena ingewezekana kila teuzi zingekuwa ni kwa kuanya Application na pawe na kipengele cha kujicommit kuwa utafanya nini kuisaidia nchi kupambana na umaskini na kuongeza ajira, na usipoanya hayo basi iwe ni tiketi yako ya kujifuta kwenye ulimwengu wa kiuongozi na kiutawala.
Tunechezewa vya kutosha na vyeo vya kujuana kwa sababu ya kusoma pamoja na kabila moja au ukanda mmoja na dini moja.

Kueni wapole tu mama atateua kwa uadilifu mkubwa sana.
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Yaaani nafasi nyeti kama hii unataka kumfu disha mama Dharau hizo

Ungesema mama tangaa nafasi za k ili tukapambane huko kwa tume ya utumishi
 
Back
Top Bottom