Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa...aachane nayo! Labda awe anasoma kujiburudisha, lakini siyo kuamini mengi ndiyo maono ya watanzania wengi na ayafanyie kazi.Mie nashauri rais aachane na mitandao ya kijamii, itampoteza! Kila mtu anashauri lake..
Rais ateue wale tu walio karibu nae kiutendaji ambao anaweza kufuatilia utendaji wao kazi, nao ni Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi, Wenyeviti wa Bodi. Watendaji Wakuu wa Mashirika ya Umma waajiriwe na Bodi za Wakurugenzi kwa kutumia Executive Search Entities zinazotambulika. Wakurugenzi wa Vitendo, MaRCs, MaDCs, MaDEDs na wa chini yao wawe Watalaamu na waajiriwe na Mamlaka ya Serikali ya Ajira (Utumishi?) kwa kutangaza kwa wazi nafasi hizo zinapokuwa wazi ili wanaokithi vigezo waombe, Chuo Kikuu cha Mzumbe kilianzishwa kuandaa watumishi hawa. Chama, Bunge na Mahakama wawe Marefa wa nje ya Uwanja wa kuhakikisha Refa wa ndani anachezesha ipasavyo na magoli yanafungwa.Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Mpango hajajielewa bado... Nadhani Covid-19 ilifika hadi kwenye medulla oblangata yake...Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Walibebwa vya kutoshaNi kosa Kwa mtu kutoka Chato au Ruangwa kushika nyadhifa nchini?
Mimi ni mwananchi wa kawaida, mwache Dr Mpango, kenge wewe!!Naona Dr Mpango masikio yanazidi kichwa na unaonesha kihalisia tabia zako za kirundi. Nikushauri tu, watch out, Samia ndo Rais na unawajibika kwa Samia na wewe si lolote wala chochote bila Mhe. Raisi Samia.
Narudia tena watch out. Tutakuja kukukumbusha humu yakikupata. Ni rahisi sana Samia kupeleka hoja za wewe kujiuzuru nafasi zako zote kwa kutotii Mamlaka. Kumbuka hata Aboud Jumbe alikuwa Makamu wa Rais ila alivuliwa nafasi zake zote ikiwemo ya Makamu wa Rais.
Hapana, sivyo kabisaUmeandika haya kwasababu Rais ni mwanamke???
Acha matusi kwa VPMpango hajajielewa bado... Nadhani Covid-19 ilifika hadi kwenye medulla oblangata yake...
Ndiyo maana nikashauri asaidiwe, Kama alokosea TPDC, vipi ma DED 180?Na kundi la kiongozi wa malaika liko on guard kuhakikisha mama anashindwa kazi ili liendelee kuneemeka.
Mama angefyatua wote wale senior walioachwa na jiwe aunde safu mpya tiifu kwake vinginevyo atapata tabu sana.
Ona kapelekwa cv ya mwanafunzi wa chuo kumteua kwenye nafasi nyeti kama DG wa TPDC .
No kawaida ushauri au ombi kukubalika au kukataliwa.Siungi mkono hoja zingatia KATIBA mamlaka ya uteuzi ni ya Rais.
Ni kawaida ushauri au ombi kukubalika au kukataliwa.Siungi mkono hoja zingatia KATIBA mamlaka ya uteuzi ni ya Rais.
Ni sahihi Mkuu.No kawaida ushauri au ombi kukubalika au kukataliwa.
Si ndo happy mbona Marehemu alikuwa anateua mwanzo mwisho why kumuonea wivu mama?Kwani Magufuli alikuwa anamwachia mama Samia kuteua!
Acha hizo wewe!
Anamringi Masha alikuwa Boss wetu! Ni mchapa kazi.DC wa Kahama ana shida ipi? Mbona wana Kahama tunaona Anamringi Macha anatosha?
Yaaani nafasi nyeti kama hii unataka kumfu disha mama Dharau hizoHabari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Ccm itafia mikononi kwà huyu mama.trust meYaaani nafasi nyeti kama hii unataka kumfu disha mama Dharau hizo
Ungesema mama tangaa nafasi za k ili tukapambane huko kwa tume ya utumishi