Ushauri kwa Sabaya: Acha! Huko unakokwenda siko

Mbona mnaingilia uhuru wa mahakama kushughulikia kesi na uhuru wa mtuhumiwa kujitetea!?
====
Hii wapi dhana ya kuhubiri uhuru wa vyombo vya kutoa maamuzi ikiwemo mahakama?
Mnaangukia padogo sana!
Hayana akili. Yanasoma utetezi halafu yanaona majina ya viongozi tu bila kujua yametokeaje.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ! Funguka Sabaya tueleze kila kitu, usiache chochote 🤣🤸🐒
 
Nachojua hakuna alipopigiwa simu kuagizwa hayo, isipokua majina aliyotaja kamwe haya wezi kusimama mahakamani kutoa ushahidi so anahisi atachomokea hapo
Tulieni mahakama ifanye kazi yake. Sidhani kama, nawe ni mmoja wa jopo la waendesha mashtaka!
 
Ndio angebinjua
 
Mimi niliyewahi kufanya kazi ya umafia ni kosa ambalo halisameheki kumtaja bosi wako. Inatakiwa upambane mwenyewe na kukiri ni wewe tu hujui zaidi, halafu mabosi zako ndo wanafanya umafia wa kukuokoa
Lakini baada ya kuwa mmekubaliana,uwenda maafisa vipenyo wamemgutua dogo yaani baada ya maboss hao kuombwa uokozi wakajitenga, akaona bwanae liwalo naliwe.

Ninachojua mimi kwenye ulimwengu wa kisasa, huyu dogo atapaswa apotezww haraka sana, kabla hajachafua zaidi,maana kwa jinsi hii anaweza kumtaja hadi rais tena kwa ushahidi wa uongo na kusema 'Mama Samia alikuwepo wakati nakutana na Mpango na ndiye alileta agizo la Rais, tuloenda kumpiga risasi Tundu Lisu ukapangwa Mkakati Samia aende Nairobi lakini ile ilikiwa zuga'

Hapo ndo utajua kwanini mbwa huwa havai Kaptura
 
... more precisely; anamaanisha yeye ni mbuzi wa kafara tu maana alikuwa anatumwa na amiri jeshi Mkuu mwenye majeshi na zana zote. Kuna tofauti gani na utawala wa Idd Amin? Amin angekutuma kweli ukatae? Huwezi kuwa hata na wazo hilo.
watamuuliza where is the evidence ya kutumwa huko. maana mtu akikutuma kwa simu ni rahis sana ku kana maana hakuna physical evidence itakayodhibitha hivyo
 
Mimi niliyewahi kufanya kazi ya umafia ni kosa ambalo halisameheki kumtaja bosi wako. Inatakiwa upambane mwenyewe na kukiri ni wewe tu hujui zaidi, halafu mabosi zako ndo wanafanya umafia wa kukuokoa
Hapo ni pale ambapo umeshtakiwa na second part. Sasa hii ya kushtakiwa na first part unarembaje?
 
Nimefurahi sana Mpango na Luoga kutajwa , waje wajitetee tuone , tulionya kuhusu uteuzi wa Dr Mpango kuwa Makamu wa Rais , hii ni kwa sababu huyu alihusika na uporaji wote wa fedha za watu kuanzia kwenye akaunti zao hadi Bureu De Change
Ki ukweli kabisa mpango hakua na sifa za kua vp
 
Tafsiri na maana ya utetezi huu wa Ole Lengai Sabaya, ni kuwa anakubali kuwa ALITENDA MAKOSA HAYO YOTE anayotuhumiwa nayo ila ALIKUWA ANATUMWA na Magufuli Rais wa ñchi wakati huo...!!

Mpaka hapo mtu yeyote anaweza kuona jinsi ambavyo mshitakiwa anaamua kujinyonga mwenyewe aidha kwa kujua au kwa kutojua...!

Kama akiendelea hivi, basi hakimu hawezi kufikiri mara mbilimbili kumtia hatiani huyu jambazi wa kutumwa na kumpa mvua kadhaa...
 
Hata sauti za simu ni ushahidi. Acheni kujifanya wenye akili kuliko watu wengine. Someni pia utetezi wa sabaya vizuri.
Yaani wame comment wachangiaji zaidi ya 40, kumbe mwenye kutafakari utetezi wa Sabaya ni wewe tuu. You are more capable to carefully listen to Sabaya's defence than 40 together who have commented,
 
Well said! He should take it like a man!🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…